Madereva ni much know sana

Madereva ni much know sana

Vitalis Msungwite

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2014
Posts
3,311
Reaction score
7,955
Aisee hawa jamaa wanaongea sana. Yaani kila stori utakayoianzisha yumo!!,

Michezo, wamo! Yaani wanaweza kukuambia kwanini timu za kundi moja zimekutana fainali na nyingine ya kundi hilo imeshika mkia.

Siasa, wamo! Mpaka lile sakata la juzi wanalifahamu A - Z

Udaku na ndagu za matajiri, wamo!, yaani vyanzo vya matajiri wa nchi hii wanazo.

Kuna jamaa alinambia, dereva anaweza kukupigisha stori mpaka mwisho wa safari na asichoke. Yaani ni wanaongea na stori zinavutia, sasa sijui taarifa huwa mnazitoa wapi ila agaizeni energy nitalipa.
 
Ndo hivyo ili tuwezi kufika mapema
 
Dereva(haswa daladala) anashinda anasikiliza redio toka saa11 alfajir anasikiliza toka amka na bbc,habari zote mpaka saa6 usiku labda ndo anafunga ofisi.Wanakua nondo sana ktk current affairs
Naunga mkono hoja.
 
Aisee hawa jamaa wanaongea sana. Yaani kila stori utakayoianzisha yumo!!,

Michezo, wamo! Yaani wanaweza kukuambia kwanini timu za kundi moja zimekutana fainali na nyingine ya kundi hilo imeshika mkia.

Siasa, wamo! Mpaka lile sakata la juzi wanalifahamu A - Z

Udaku na ndagu za matajiri, wamo!, yaani vyanzo vya matajiri wa nchi hii wanazo.

Kuna jamaa alinambia, dereva anaweza kukupigisha stori mpaka mwisho wa safari na asichoke. Yaani ni wanaongea na stori zinavutia, sasa sijui taarifa huwa mnazitoa wapi ila again zeni energy nitalipa.
Kama dereva anaongea mwanzo bado mwisho wa safari, hapo nitakuwa na amani. Ila awepo mtu mwingine wa kumsikiliza, mimi nitalala.
 
Aisee hawa jamaa wanaongea sana. Yaani kila stori utakayoianzisha yumo!!,

Michezo, wamo! Yaani wanaweza kukuambia kwanini timu za kundi moja zimekutana fainali na nyingine ya kundi hilo imeshika mkia.

Siasa, wamo! Mpaka lile sakata la juzi wanalifahamu A - Z

Udaku na ndagu za matajiri, wamo!, yaani vyanzo vya matajiri wa nchi hii wanazo.

Kuna jamaa alinambia, dereva anaweza kukupigisha stori mpaka mwisho wa safari na asichoke. Yaani ni wanaongea na stori zinavutia, sasa sijui taarifa huwa mnazitoa wapi ila again zeni energy nitalipa.
Bora madereva, wavuvi ni kiboko waongo mno.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom