Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,780
- 13,699
- Thread starter
- #21
Mkuu unataka vita so bure[emoji23]Nadhani ni ile ya chadema iliyofanyiwa maboresho
[emoji1536] hizi mbili zimegeukiana na mstari katikati
Mkuu unataka vita so bure[emoji23]Nadhani ni ile ya chadema iliyofanyiwa maboresho
[emoji1536] hizi mbili zimegeukiana na mstari katikati
Hio ni alama ya eneo ya mapumziko unaruhusiwa kusimama na kupata vibez
Labda Kuna free vibe kama free Wifi.Hio ni alama ya eneo ya mapumziko unaruhusiwa kusimama na kupata vibez