Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,406
Bro, watu hawaogopi ukimwi kabisa sasa hiviNawe umejudge na hiyo version ya story, zipo version nyingi....sema wajua nini, ukimwi upo sema watanzania huwa hawaugui au kufa kwa ukimwi
Bro, watu hawaogopi ukimwi kabisa sasa hiviNawe umejudge na hiyo version ya story, zipo version nyingi....sema wajua nini, ukimwi upo sema watanzania huwa hawaugui au kufa kwa ukimwi
Ukifa wanasema umekufa kwa ukimwi? Ngoja tuone waliokufa kwa ujambazi kama watasema ...haka katabia watanzania hatunaBro, watu hawaogopi ukimwi kabisa sasa hivi
Angalau hili linaingia akilini kidogo!Kumbe ni dereva boda boda ndo wamemua huyu Mashali
wamebishana bei ..yeye anataka kulipa 2000 ..bodaboda anataka 3000
Jamaa akiwa kalewa pia akaleta ubabe..akampiga dereva bodaboda hadi chini..
dereva akaiita mwizi....naona watu wakadhani ni mwizi wa bodaboda..
wenzie wakamvamia na kumpiga.....
source ni mwanae ambae anasema maelezo hayo amepewa na baba yake
alipomuuliza chanzo kabla hajafa....amehojiwa na Azamm Two
binafsi naona na hospitali zetu nazo zime changia vifo aina sana tu
nadhani sababu kubwa haswa ya hawa baadhi ya celebrities kukosa usafiri ni kutokana na nchi yetu yenyewe kuwa third world country ivoo ataa baadhi ya celebrities wetu wako kimasikini masikini tuu....hivi vitu vya celebrities kutokuaa na usafiri binafsi huwezi visikia first world countries.....tanzania nchi ya amaniUmeuliza swali la msingi sana,maana kwa levo zake sio wakukosa usafiri.
Hawa mabondia wanashangaza ukiwauliza unalipwa sh ngapi kwa pambano utasikia milioni 9
niliwahi muuliza mtu wa karibu na cheka akanijibu milioni 9
halafu ukute huyo cheka hata baiskeli hana
Hawa mabondia wanashangaza ukiwauliza unalipwa sh ngapi kwa pambano utasikia milioni 9
niliwahi muuliza mtu wa karibu na cheka akanijibu milioni 9
halafu ukute huyo cheka hata baiskeli hana
kwani mkuu ukiwa na gari unakuwa nalo mda wote,mfano unaenda piga pombe afu utembee na gari,itakuweje kama unajijua unatakuwa tilalilaMarehemu alikuwa hana usafiri binafsi? R.I.P !
Kasoro weweMadereva bodaboda wote ni pumba ....!
hospitali inahusikaje hapo?Kumbe ni dereva boda boda ndo wamemua huyu Mashali
wamebishana bei ..yeye anataka kulipa 2000 ..bodaboda anataka 3000
Jamaa akiwa kalewa pia akaleta ubabe..akampiga dereva bodaboda hadi chini..
dereva akaiita mwizi....naona watu wakadhani ni mwizi wa bodaboda..
wenzie wakamvamia na kumpiga.....
source ni mwanae ambae anasema maelezo hayo amepewa na baba yake
alipomuuliza chanzo kabla hajafa....amehojiwa na Azamm Two
binafsi naona na hospitali zetu nazo zime changia vifo aina sana tu
Mabondia wote wanaishi maisha ya kuunga unga
Mchumiatumbo ambae ndo heavyweight champion wa Tz anabeba lumbesa soko la Tandika hadi leo
Kwani anapigana kila wikiendi na kulipwa hiyo 9 mil?Hawa mabondia wanashangaza ukiwauliza unalipwa sh ngapi kwa pambano utasikia milioni 9
niliwahi muuliza mtu wa karibu na cheka akanijibu milioni 9
halafu ukute huyo cheka hata baiskeli hana
Ni kweli,but kuhusu cheka kidoogo ameshtuka,nadhani ni mwaka jana tu hapa alinunua kama hiace tatu mpya na akazitupia route ya Moro-Gairo!Hawa mabondia wanashangaza ukiwauliza unalipwa sh ngapi kwa pambano utasikia milioni 9
niliwahi muuliza mtu wa karibu na cheka akanijibu milioni 9
halafu ukute huyo cheka hata baiskeli hana
Kuna umoja wa aina nyingi sana. Lakini umoja wa waendesha boda boda unaongozwa kwa jazba mara nyingi.Hawa dereva wa bodaboda wakikuitia mwizi tu ujue umekufa