Madereva bajaji acheni umbea

Madereva bajaji acheni umbea

Hawa jamaa ni wambea kupita kiasi, yaani ni zaidi ya wanawake.

Hawa jamaa wakiona mshikaji kapanda bajaji na demu wake utakuta wanafanya wanaweka vizuri side mirrors (vile vioo vya pembeni mwa bajaji).

Ukweli ni kwamba hawa jamaa huwa wanazitegesha zile side mirrors ili waweze kuona wanachokifanya waliopanda nyuma kwenye bajaji. Mara nyingi mwanaume na mwanamke wakipanda kwenye bajaji huwa wapigana kiss au kushikana na madereva bajaji wamejua hilo kwahiyo huwa wanategesha vioo vile ili wawapige chabo.

MADEREVA BAJAJI ACHENI UMBEA MTASABABISHA AJALI ZISIZO NA MSINGI, UMBEA SIO DILI.

By: SUPU YA MAWE

Nunua gari wewe
 
Last edited by a moderator:
J.F pana kama shati la Lemutuz.... hadi madereva bajaji wamo..
 
Mkuu,ukiwa na bibie wako kwenye bajaj uwe unasoma riwaya tu.Yaani subiri mfike nyumbani,mtamkomesha dereva.
 
Na madereva bajaji wanjua siri sana , unakuta wanampeleka demu mmoja kwa wanaume zaidi ya wawili na wanamfichia siri tu.. wewe kuwa makini sana na dereva bajaji wa demu wako ,,, anajua siri zake nyingi sana
 
Wanahofu na maisha yao, labda utakuwa sio mtu mzuri kwao hiyo ni njia ya kujilinda
 
Ivi hata kwenye bajaj wanazin!!!! mbna ni hatar xna watasababisha ajali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom