Uache kutembea na kamera maporini mkuu!
Wamekacha vipindi darasani na kwenda kucheza kibaba na kimama jamani huu mchezo waachiwe baba na mama tu. Hawa wakitaga lawama kwa walimu. Ni jikumu la kila mwenye machungu na makuzi na malezi kukemea huu mchezo wa ngono mashuleni kwa kuonyesha kwa vitendo, wa mama acheni kurubuni viserengeti boys na mafataki acheni kurubuni vibinti kwa chipsi kavu na mirinda.

Hapana mkuu, niliwaacha waliridhishane baadae nikawapa somo la kutumia condom