Madent wekeni ugumu kidogo basi mtatuua

Madent wekeni ugumu kidogo basi mtatuua

Yaan kuanzia sekondari hadi chuo ukigusa tu ,hamna kukataliwa hii imekaaje hii yaani mmeyafanya mapenzi yawe rahisi na vijana wa mjini mmewafanya wasifikirie kuoa tena
Yaan ukitongoza leo next weekend mnajikuta tayari pichu imeshavuliwa kwa hewa

Aisee msitukubalie haraka [emoji12] mnatisha sana kwa kurahisisha mapenzi hadi wanawake wenzenu wanalio kwenye mahusiano wanawaogopa kuvunja ndoa zao
Unadhani nyege unazo peke ako????
 
Hamueleweki wanaume mjue mkizungushwa mnasema tunaringa na kudengua mara tutazeekea nyumbani tumewakubali mara chai maharage loooh
Hawajui kuwa wanataka nini, ila akae chonjo na madent, vinginevyo miaka 30 nyuma ya nondo itamhusu.
 
Waambie waelewe asee
Watoto wanapenda sana pesa na ngono siku izi

Sema mkuu mwekundu ukimuona ni mwanafunzi usimtongoze
Waacheni wakue kwanza
Ukisema ungoje embe liive wenzako wanalila na chumvi likiwa bichi...
 
Dunia uwanja Wa Fuji nilikua nasoma ile habari ya madanguro ya Dar mwingine katoa ushuhuda yeye ni kidato cha tatu Shule Fulani na anajiuza.

Mwingine chuo Fulani ,hapa labda tu watu wapimwe wawekewe alama walioungua ili kupunguza maambukizi kama walivyofanya South Africa tu ila hao watoto wameshakua mafundi tena.

Sisi wanaume naona ndio tunaobakwa na vitoto sio sisi kubaka vitoto tena
 
Mkuu watoto wanajua hadi nawaogopa
 
Mna raha vijana siku hizi, mambo kumbe rahisi? enzi zetu hadi unyang'anye kanga ili aje kuichukua maana isipoonekana nyumbani kwao ataulizwa. Msisahau ndom.
 
Back
Top Bottom