Madent wekeni ugumu kidogo basi mtatuua

Madent wekeni ugumu kidogo basi mtatuua

Hamueleweki wanaume mjue mkizungushwa mnasema tunaringa na kudengua mara tutazeekea nyumbani tumewakubali mara chai maharage loooh
pole sana aisee hua tunaugonjwa wa kutamani unaitwa
 
Yaan kuanzia sekondari hadi chuo ukigusa tu ,hamna kukataliwa hii imekaaje hii yaani mmeyafanya mapenzi yawe rahisi na vijana wa mjini mmewafanya wasifikirie kuoa tena
Yaan ukitongoza leo next weekend mnajikuta tayari pichu imeshavuliwa kwa hewa

Aisee msitukubalie haraka [emoji12] mnatisha sana kwa kurahisisha mapenzi hadi wanawake wenzenu wanalio kwenye mahusiano wanawaogopa kuvunja ndoa zao

Mkuu miaka 30 hyo mkuu naona wanataka kuitutafutia kwa lazima
 
Hakuna dhambi mbaya kama uzinzi maana ukichukua vya watu na wewe vya kwako vinaliwa aidha mama yako, dada yako, binti yako, shangazi yako na wengineo, halafu baya zaidi ni lazima ulipe tuu. Tujihadhari sana.
 
Yaan kuanzia sekondari hadi chuo ukigusa tu ,hamna kukataliwa hii imekaaje hii yaani mmeyafanya mapenzi yawe rahisi na vijana wa mjini mmewafanya wasifikirie kuoa tena
Yaan ukitongoza leo next weekend mnajikuta tayari pichu imeshavuliwa kwa hewa

Aisee msitukubalie haraka [emoji12] mnatisha sana kwa kurahisisha mapenzi hadi wanawake wenzenu wanalio kwenye mahusiano wanawaogopa kuvunja ndoa zao
Mkuu huyo aliyekuzungusha week muoa anafaa kuwa mke tena ana msimamo sana, siku hizi ni masaa/siku moja tu unakula mzigo.
 
Kuna mmoja nilikutana nae bank tukaangaliana sana tulipotoka nje tukasalimiana, nikamuuliza ana ratiba gani akanambia anarudi tu home hana issue, nikamwambia kama hatojali tufike kwangu nitafurahi nikila chakula chake, akajiuma uma akasema sawa ila sitakaa sana nikamwambia poa, tumefika home tumepika msosi tukala kilichoendelea hapo hakipaswi kusemwa hadharani.
 
Mmeingia geto anasema ohoo mi ctak Mara naogopa uku unashusha chini , mwenzio ntasema uku amefumba macho ..... baadae bas Fanya ila mi ctak
 
Yaan kuanzia sekondari hadi chuo ukigusa tu ,hamna kukataliwa hii imekaaje hii yaani mmeyafanya mapenzi yawe rahisi na vijana wa mjini mmewafanya wasifikirie kuoa tena
Yaan ukitongoza leo next weekend mnajikuta tayari pichu imeshavuliwa kwa hewa

Aisee msitukubalie haraka [emoji12] mnatisha sana kwa kurahisisha mapenzi hadi wanawake wenzenu wanalio kwenye mahusiano wanawaogopa kuvunja ndoa zao
Umalaya umesababishwa na wazungu kwa kuleta mavazi, hapo zamani watu walikuwa wanatembea uchi.
Hivyo basi ilikuwa mtu hawez mtamani mwenzie koz papuchi zilikuwa nje nje daily tena za kila saizi.
Tatizo walipoanza kuficha papuchi kwenye nguo, basi tamaa zikaanzia hapo. Vijana mnaomba omba ovyo tu. Tulien bhana, hii kitu ni ile ile.
 
Kulala na dent sawa na kutembea na unga karibu na kituo, mi siwezi dhubutu.
 
Back
Top Bottom