madent kama hawa ndo waliopata zero!!

msaranga1

JF-Expert Member
Feb 24, 2013
323
259
Mwanafunzi wa darasa la pili alimuuliza mwalimu wake: hivi ukichanganya OMO na FOMA zitatoa POVU?. Mwalimu
akajibu kwa hasira: swali gani hilo la KIPUUZI? Lazima zitatoa POVU kwa sababu zote ni SABUNI. Mwanafunzi akamjibu: sasa wewe ndiye una majibu ya KIPUUZI. Zitatoaje POVU wakati haujaweka MAJI?
 
huyu alipata one.....mwalimu ndo kanjanja na mepewa jibu sthiki.....kudadadadeki zake. safi sana student....poor teacher.....idiot.
 
Back
Top Bottom