Copied somewhere, just for funny!!!
Siku moja madenge alikua ana njaa lakini hanapesa. Akamuomba mungu" ewe mungu nijaalie niokote japo elfu 2 tu, naapa elfu 1 nitairejesha kwako kama sadaka ,. Baada ya maombi akaenda zake , ghafla mbele kidogo akaokota elfu 1 . Akasema dah, mungu ni waajabu kweli kweli ameshakata chake kabisa duuh HUYU MUNGU ATAKUWA NI WAKALA WA M-PESA LAKINI ANGEKUA WA AIRTEL- MONEY ASINGEKATWA MTU HAPA.
This is just a joke, acha woga.Huo mzaha mnaofanya mpaka kwa mwenyezi mungu kuna siku mtakuja kujuta