Madenge alirudi kutoka shule akilia akakutana na baba yake akamuuliza
Baba:mwanangu mbona unalia Madenge:suruali ya mwalimu ilikuwa
imeingia katikati ya ------ nkaamua niitoe Baba: eeh Madenge:nilipoitoa
akanichapa ndo nkaamua niirudishie na kidole palepale katikati
Baba:hapa sina mtoto