Mademu wengi wanateseka juu yangu...

haaa urafiki gani wa kudo kabisa yani huyo rafiki anakua kama kipoozeo haipendezi huo ni usaliti
 
haaa urafiki gani wa kudo kabisa yani huyo rafiki anakua kama kipoozeo haipendezi huo ni usaliti
Hakuna cha usaliti ila ni katika makubaliano yenu wawili.Inaweza kuwa huko makazini, kwenye mikutano nk na katika kuzoeana wawili mkatamaniana ikafikia mahali mkaombana mchezo na mka do na si kwa ajili ya kuoana.
 
boflo usidhani wanakufuatilia eti kwa kuwa wanakupenda wewe lllaaaaa hashaaa wanachokipenda hapo ni hizo huduma ulizozitaja (kama afterall unazimudu kweli!) otherwise wanawake hatunaga mapenzi ya kufa na kuzikana kamuulize hata bibi yako atakwambia alichompendea babu yako na utagundua ukweli
 
Boflo,nilichogundua ni kwamba wadada wanataka ku-prove kama wewe ni Boflo a.k.a mkate je utalainika ktk supu au wewe ni jiwe utatengeneza supu ya mawe?sasa unapoishia njiani watasema kumbe kweli unafanana na jina lako!

btw kwanini huwatafuni?huna meno au?
 
Ww Mc wa maharusini??? au
 
Huna lolote Boflo unatuingiza kingi tu. ina maana wewe hujamzimikia hata mmoja???
 
Last edited by a moderator:
kumbe wasipokuchokoza una busara hivi.

mama yangu mzazi Mamndeny yaani mie ni mtu w busara sana ila tu ni mkali sana tena kwa mambo ambayo yana udhalilishaji hasa wa utu wa mtu. angalia sehem zote ninazo kuwa mkali ni kwenye wale wanaodhalilisha utu wa mtu.
 
Last edited by a moderator:
Nimekusoma my baby.
kazi zinakwendaje lakini.
mama yangu mzazi Mamndeny yaani mie ni mtu w busara sana ila tu ni mkali sana tena kwa mambo ambayo yana udhalilishaji hasa wa utu wa mtu. angalia sehem zote ninazo kuwa mkali ni kwenye wale wanaodhalilisha utu wa mtu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…