Mademu wakimya mnakera mnoo

Huyo safi sana. Shida wanaonekanaga ni viburi na dharau

Hizo sifa kama za joanah
joanah huyu huyu au kuna mwingine?

Asee mkuu tunaogolea bahari 1..mi wangu hua nakaaga kimya alafu nikikaa kimya utamsikia "una shida gani hubby" mi namjibu "sina shida nimeamua tu kukuigia kua mkimya" anazuga anacheka..ukimkazia uko kimya vile vile Mnuno unafata na madeko..Yani naboeka sema ndo hivyo sina jinsi..Huyu wangu yeye ukitaka aongeee Simu yake ikose game...yani ni anapenda kucheza game huyooo.

Sema namshukuru MUNGU kwa kila jambo..niki miss makelele najua pakuyapata
 
Kuna kitu Mimi sijakielewa hapo.

Huyo demu ni mke wako au?
 
Hiyo ni Bahati mkuu shukuru Mungu Aiseee maana cc tulio Oa Clouds Fm ni Shida.
Eti Clouds FM,hajui balaa lake huyo!!!!!!!!!!unaweza kujikuta kama una kosa umefanya unabaki unasubiria sehemu kwanza giza liingie ndio urudi nyumbani,au kama ni ofisini unatafuta hata vikazi visivyo na maana ili tu muda uende utoke saa moja usiku...
 
Wangu mie aibu tu
10yrs in marriage ni aibu aibu aibuuu kwa kwenda mbele
Kwa wageni akisalimia tu anazama chumbani kumchomoa huko unahitaji greda na bludoza
Sasa huyo aibu... Anaweza suck di. Ck kweli? Au ndo wale wanataka uzime taa kwanza
 
Wakuu hii style mpya ya kutafuta wenza humu mmeibuni lini??

Mbona haikuwa miongoni mwa agenda kwenye kikao chetu cha mwisho??

cc: Nyete
 
Mi nlikuwa na kademu hakaongei hivyo hivyo. Siku nzima kimyaa...nakapigisha stori kanacheka tu afu kimya tena...shida akiongea sasa ni utumbo mtupu...nikawa naprefer kumuacha apige kimya tu..
Ha ha ha kwamba kila mtu anahekima akikaa kimya lakini akifungua mdomo ndipo upumbavu wake huonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…