kwani yule demu wako uliomkuta na njemba wmingine halafu
akampiga busu zito mmeishia wapi!!!!!!!!
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/526749-msaada-jamaniii.html
wewe kijana huna akili nawahurumia sana wazazi wako na jamii inayokuzunguka kwa ujumla kwanini huna akili lakini???Jamani mimi mwenzenu ni mgeni katika ulingo wa malavidavi, naomba mnijuze ni mkoa gani wanatoka totoz wa ukweli ili nifanye maamuzi sahihi na Mungu akipenda tutengeneze familia naye,. Ukitoa na sababu ya chaguo lako nitashukuru zaidi,.
watu wengine bwana,. Kwani mmelazimishwa kuchangia au ndo mnamalizia vifurushi vyenu,.
hahahha tena safari hii atamuita amuone akiliwa 0713Hahh!! Kweli ndio huyu alie kuja na huo uzi wa mabusu adharani. Haaah hahah Ha Ha!!! yule demu alikuwa ana haki kukufanyie vile .
Huyo mrembo unae mtafuta sasa hivi ata kupigia simu uende ukamuone anavyo gegedwa.
Furushi unalo wewe, hebu geuka nyuma ujitizame...
Hhahaaaa BIG RESULT NOW at work.........
wewe kijana huna akili nawahurumia sana wazazi wako na jamii inayokuzunguka kwa ujumla kwanini huna akili lakini???
eti mbona unamalizia kifurushi chako kwa mbwembwe!!!!!!
hahahha tena safari hii atamuita amuone akiliwa 0713
shukrani zangu ziwaendee Great thinkers wanaoendelea kuni-PM, ushauri wenu ni muhimu sana kwangu!!
Jamani mimi mwenzenu ni mgeni katika ulingo wa malavidavi, naomba mnijuze ni mkoa gani wanatoka totoz wa ukweli ili nifanye maamuzi sahihi na Mungu akipenda tutengeneze familia naye,. Ukitoa na sababu ya chaguo lako nitashukuru zaidi,.
shukrani zangu ziwaendee Great thinkers wanaoendelea kuni-PM, ushauri wenu ni muhimu sana kwangu!!
wa kumfanyia maamuzi sahihi huyu mleta siredi au yule bidada!!!!!!
Jamani mimi mwenzenu ni mgeni katika ulingo wa malavidavi, naomba mnijuze ni mkoa gani wanatoka totoz wa ukweli ili nifanye maamuzi sahihi na Mungu akipenda tutengeneze familia naye,. Ukitoa na sababu ya chaguo lako nitashukuru zaidi,.
Unajitangaza siyo,. Ni PM kama unatoa hiyo huduma mkuu, naihitaji sana hii kitu!!