jamani mimi mwenzenu ni mgeni katika ulingo wa malavidavi, naomba mnijuze ni mkoa gani wanatoka totoz wa ukweli ili nifanye maamuzi sahihi na mungu akipenda tutengeneze familia naye,. Ukitoa na sababu ya chaguo lako nitashukuru zaidi,.
madhara ya div. 0 ndo haya sasa; tuliliona kama jambo dogo lakini madhara yake kwa taifa ndo yanaanza kujitokeza mdogo mdogo. Hivi fikiria kama tungekuwa tunaonana - unafikiri tungekuelewaje; unaumwa malaria ya ubongo, hazikutoshi, au kitu gani? Nani kakwambia warembo lazima watoke mkoa mmoja tu. Hata ukiangalia mamis huwa wanabadirika, mara mwanza, mara arusha, bukoba n.k.
sio siri mtoa uzi umenisikitisha sana.
watu wengine bwana,. Kwani mmelazimishwa kuchangia au ndo mnamalizia vifurushi vyenu,.
nina wasiwasi hata shule hukwenda kabisa wewe,. Nani kakuambia div.0 ni tatizo!! Unajua mimi ninaishi maisha gani ww,. Karibu nyumbani na masters yako!!
Subiri umalize shule tuangalie utapata div gani kwenye Big Results Now.
Nenda maternity ward kuna totoz za ukweli na huwa zinazaliwa kila dakika...
nina wasiwasi hata shule hukwenda kabisa wewe,. Nani kakuambia div.0 ni tatizo!! Unajua mimi ninaishi maisha gani ww,. Karibu nyumbani na masters yako!!
kwani yule demu wako uliomkuta na njemba wmingine halafu
akampiga busu zito mmeishia wapi!!!!!!!!
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/526749-msaada-jamaniii.html