mademu wa kizungu hawapigi mizinga kama wakibongo?

maju

Senior Member
Joined
Oct 20, 2011
Posts
118
Reaction score
28
Nimeangalia muvi nyingi za hollywood za mapenzi sijawahi kuona demu akimpiga mzinga bf wake. Atapigwa mti na kusepa bila kuomba nauli wala hela yya matumizi sijui hela ya saluni. Au watatoka out kula kila moja atalipa.
Hii tabia ya kuombaomba mademu wa bongo wameiiga wapi? Maana ukilala naye lazima akupige mzinga kama kakuuzia. Mbona wabongo mnalaana hv kila ubaya mnao nyie. Bora mtu uchukue wanaojiuza rasmi kona baa ujue moja.
 
Kesho sitashangaa ukija na hoja inayosema mademu wa kizungu hawajisaidii haja kubwa simply because hawaonyeshwi kwenye movie wakienda kujisaidia haja kubwa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nimeangalia muvi nyingi za
hollywood za mapenzi sijawahi kuona demu akimpiga mzinga bf wake.
Atapigwa mti na kusepa bila kuomba nauli wala hela yya matumizi sijui
hela ya saluni. Au watatoka out kula kila moja atalipa.
Hii tabia ya kuombaomba mademu wa bongo wameiiga wapi? Maana ukilala naye
lazima akupige mzinga kama kakuuzia. Mbona wabongo mnalaana hv kila
ubaya mnao nyie. Bora mtu uchukue wanaojiuza rasmi kona baa ujue
moja.

ila ukidate na demu wa mbele halafu mkitoka out ww ukapay bills kuna namna fulani anakurespect sana,halafu utashangaa unavyopewa masuprise ya ukweli.nliipata experience ya mtoto kutoka puerto Ricco.
 
Nao wanapiga mizinga kama sisi. Na huku wapo pia wasiopiga mizinga
 
Nimeangalia muvi nyingi za hollywood za mapenzi sijawahi kuona demu akimpiga mzinga bf wake. Atapigwa mti na kusepa bila kuomba nauli wala hela yya matumizi sijui hela ya saluni. Au watatoka out kula kila moja atalipa.
Hii tabia ya kuombaomba mademu wa bongo wameiiga wapi? Maana ukilala naye lazima akupige mzinga kama kakuuzia. Mbona wabongo mnalaana hv kila ubaya mnao nyie. Bora mtu uchukue wanaojiuza rasmi kona baa ujue moja.

umesema kuwa Wazungu na wabongo! Huoni tofauti iliyopo wale ni wazungu! Umaskini ndo tatizo Mjomba! Hata dada zetu hawapendi kuwa ombaomba kwetu!
 
Hili ni lakufanyia kazi nione kama ni kweli wanapiga muzinga au hawapigi mizinga
 
Nimeangalia muvi nyingi za hollywood za mapenzi sijawahi kuona demu akimpiga mzinga bf wake. Atapigwa mti na kusepa bila kuomba nauli wala hela yya matumizi sijui hela ya saluni. Au watatoka out kula kila moja atalipa.
Hii tabia ya kuombaomba mademu wa bongo wameiiga wapi? Maana ukilala naye lazima akupige mzinga kama kakuuzia. Mbona wabongo mnalaana hv kila ubaya mnao nyie. Bora mtu uchukue wanaojiuza rasmi kona baa ujue moja.

Nikuambie kitu kaka...from experience nilishakua na msichana wa kizungu wakati nasoma..... ni kweli hupigwi mizinga lakini huwezi kujisikia kama unamiliki demu......kwa sababu humlipii chochote hivyo yuko free kutoka na mwanaume yeyote na kuachana ni nje-nje....pia unaweza rudi nyumbani ukakuta kajipikia chakula chake tu ,amekula amelala amekuachia kimemo hapo usimwamshe kachoka...ni noma aisee.
 
Speaking from experience! sio wazungu wote hawapigi mizinga, 'date' mzungu kutoka eastern europe(Latvia, Lithuania, Belarus, Poland etc) uone shughuli yake, mizinga kama kawa. Issue hapo ni umaskini, hao wasiopiga mizinga ni wale wanaojiweza kiuchumi.

Nikuambie kitu kaka...from experience nilishakua na msichana wa kizungu wakati nasoma..... ni kweli hupigwi mizinga lakini huwezi kujisikia kama unamiliki demu......kwa sababu humlipii chochote hivyo yuko free kutoka na mwanaume yeyote na kuachana ni nje-nje....pia unaweza rudi nyumbani ukakuta kajipikia chakula chake tu ,amekula amelala amekuachia kimemo hapo usimwamshe kachoka...ni noma aisee.

Aiseh, wewe ulikuwa na bahati mbaya halafu umeamua ku-generalize kuwa wazungu wote wako hivyo. Wenzio hatupigwi mizinga, na wanatupikia na kutusafishia apartment vilevile. Swala ni wewe ku-act kama mwanaume na kuonyesha msimamo tangu mwanzo. Kama anakupenda atafuata tu mstari unaomchorea, ukijionyesha kuwa kama umepata bahati kuwa nae ndio hayo mambo ya 'jipikie mwenyewe mie nimechoka'
 
Mizinga hawana.ila ili penzi linoge we mwenyewe unapimpiga na suprise ya mazawadi mara ukizipata hapo penzi litanoga.kitu ambacho maganga wengi hatuwezi fanya mpaka tupigiwe tarumbeta.
 
Hata u.s.a kwa kina nyani ngabu wanaopiga mizinga ni mademu wa ki black americans
 
Nimeangalia muvi nyingi za hollywood za mapenzi sijawahi kuona demu akimpiga mzinga bf wake. Atapigwa mti na kusepa bila kuomba nauli wala hela yya matumizi sijui hela ya saluni. Au watatoka out kula kila moja atalipa.
Hii tabia ya kuombaomba mademu wa bongo wameiiga wapi? Maana ukilala naye lazima akupige mzinga kama kakuuzia. Mbona wabongo mnalaana hv kila ubaya mnao nyie. Bora mtu uchukue wanaojiuza rasmi kona baa ujue moja.

mwanamke yoyote anayetoa penzi kwa pesa huyo anajiuza
 
Cshangai sana kwasababu ya kuukataa Utanzania na kuutukuza Uzungu kule wao wanaoa wadada wa kibongo huku wanaolewa. Kwa hiyo vitu wanavyofanya wao ni utamaduni wao tofauti na cc hiku, we muanzisha mada mwenyewe uunaweza kumtolea MAHARI mtoto wako wa kike ili aolewe? Au kumjengea nyumba nzuri mtoto wako wa kike ili aolewe ? Kama wewe ungeliweza kufanya haya kwa bint yako basi amini hao wadada wa kibongo wasinge Kupiga MIZINGA kwasababu wazazi wao wangekuwa tayari wamesha Waandalia mazingira ya KUOA na c kuolewa
 
Mh jaman nilifikiri ushatembea nchi zote za wadhungu na kuwa na mahusiano nao kumbe ni kwa kuangalia muvi 2!!!!
Ama kweli walosema "real life is not as simple as in hollywood movie" hawakukosea!!
Binadamu wote ni sawa 2nakujakutofautiana kutokana na malezi!
Mbona ht mi nmeona muv nying 2 ambazo wanawake wa kizungu wako afta money na wanachuna kwel kwel co vihela vdogo 2 nyumba na magari sema wanajua kuwazuga wapenz wao hlf wanajifanya very classic na hawana shida ya hela!
Basi mtu wa taifa jingine akiangalia bongo muv naye ataamin watz ndo 2livo!
Jaman bado tunatawaliwa kifikra tu na kuamin white colour pple r angels!!?very sad
labda aje mtu mwenye static data na awe ameexperienc co kawah kuwa na mzung m1 au wa2 anadraw conclusion!
 
Nimeangalia muvi nyingi za hollywood za mapenzi sijawahi kuona demu akimpiga mzinga bf wake. Atapigwa mti na kusepa bila kuomba nauli wala hela yya matumizi sijui hela ya saluni. Au watatoka out kula kila moja atalipa.
Hii tabia ya kuombaomba mademu wa bongo wameiiga wapi? Maana ukilala naye lazima akupige mzinga kama kakuuzia. Mbona wabongo mnalaana hv kila ubaya mnao nyie. Bora mtu uchukue wanaojiuza rasmi kona baa ujue moja.

Madem wa kibongo wanaendekeza njaa na tamaa. Ndio maana wengi wao wanamegwa ni vibabu na kuhongwa magari mekundu kama yule Kamanda wa BOT alivyokuwa anawahonga na kuwasambazia Ngwengwe!
 
Pamoja na kuwa mimi ni mwanaume, lazima tuwe wakweli kuwa hata mimi nimejifunza sana ughaibuni kutoka kwa wanaume wa huku.
Gifts, suprises, trips ... zikiwa hazipigi chenga, mwanamke hakuombi hela. Ataona hata aibu.
 
Hawa wanataka usawa ila ni maselfish balaa.
 
Back
Top Bottom