Mademu wa kibongo na Kuwashobokea maceleb | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mademu wa kibongo na Kuwashobokea maceleb

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaJambazi, Jun 13, 2011.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,015
  Likes Received: 3,198
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  JUNRAY BARAWING kutoka UFILIPINO jana alitawazwa na wataalamu wa kile kitabu cha kuweka kumbukumbu za maajabu Duniani cha 'GUINNESS' kwamba kwasasa ndie mtu mfupi kuliko watu wote wanaoishi Duniani kwasasa akiwa na urefu wa inchi 23 yaani cm 58 akiwa amepungua inchi 3 zaidi ya alikuwa akishikilia Record hiyo KAGHENDRA MAGAR kutoka Nepal! JUNRAY ametimiza miaka 18 juzi na kumfanya atambulike kama mtu mzima kwa sasa na ndipo Chief Editor wa 'GUINNESS'.

  Hivi karibuni aliota 'ndoto nyevu' na kuthibitisha ni mtu 'mzima'.

  Huyu dogo kwa vile ameukwaa umaarufu, akija hapa bongo atangoa mademu kibao, na akibahatika kuwa na hela, itakua balaa zaidi.

  "Kazi ni kwenu"


   
 2. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  wale police?
   
 3. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  kweli........,,,,,,,,Jisachi
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Dahhh
  Madharau sasa hayo..
   
 5. Mvua Ya Kiangaz

  Mvua Ya Kiangaz JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  non compos mentis........................ni afadhali ya wanaojiuza wanaeleweka,kiufupi dada zetu hawako na mapenzi kabisaaaaaaaa yaani ni material oriented tena simple materials...................kutoka na mtu mwenye cheap popularity kama maceleb(actual hawa wa kibongo si maceleb kama wanavyodai) basi wao mtaaani huwaambii kitu......................
   
 6. Mvua Ya Kiangaz

  Mvua Ya Kiangaz JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  wanajidharaulisha wenyewe.....................
   
Loading...