Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,378
- 12,573
- Thread starter
- #41
Halafu halafu halafu sio alafuItamke mara tatu then utaelewa.
Juu sina mdomo ama?
Mdomo namuachiaga mathee?
Nikwambie tu kiunaga ubaga kuwa,
Mm hata sifikirii kuwaacha watu wa home, juu mm ni first born na majukumu niliokwisha pewa ni mengi tu,
So usinicompee mm na watu wenyu, au mm na wew.
Mimi ni Lango (Mazaliwa wa kwanza kama Lango katika familia)
Siku majukumu yakiisha nitafikiria nawaachaje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawai pokea malipo yoyote,
Sina hela wakuu nimepigika
lakin leo nimepatwa na hasira sana.
But one day yes, nitaenda kutafuta kwangu.
Maana najua hapa nipo home saiv najua atakuja na mzazi kunivuruga zaidi na kukwepa siwezi, maana mzee wangu ni kichomi masaa 24.
Sasa unafikir kama mzee wangu ni kichomi, nitaondoka.. nimuache???Hiyo chini ni summary ya ulichoandika tar 18 March 2019.
Kwamba ndo umeanza kazi, huna hela, means kama umeshalipwa ni mwezi tu mmoja umepokea mshahara.
Hiyo paragraph nyingine unasema kuna siku utapata kwako, mzee ni kichomi 24 hours.
Sasa soma hayo uliyonijibu juu uone kama yanafanana na hayo uliyoandika kwenye hiyo post ya chini.
Further to that: Ukipata mwanamke kipindi hiki utampeleka hapo nyumbani kwa mzee ama?
Maana najua kama umelipwa mwezi tu, bado hujakusanya za guest.
Sasa unafikir kama mzee wangu ni kichomi, nitaondoka.. nimuache???
Na ukichomi wake wew unaujua??.? Ni upi???
Then swala la kuowa, wala usiniulize, hilo lipo tu.
Tutakaa popote tu.
Kwani kibongo bongo ukiowa sio wanaume wote huwa tayar wamejenga.
Wapo wanaume wenye uwezo mkubwa lakin bado wameingia kwenye ndoa wakiwa bado hawajajenga.
Na kipindi cha mm kupata mke, wala sio tatizo.
Mungu atazungumza na mm nin cha kufanya na chakuandaa, kwa sasa Muda bado.
Mungu ndio master plan wangu,
So everything could be ok,
Mungu anazungumza nini tumchao.
"ALAFU USIPEKENYUE SANA NYUZI ZANGU,
Muhimu kufanya kama ilivo andika BIBLE"
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaandika Mengi hata.Duh, umenikomesha kwa kuandika mengi.
Inshort, hao wanaozingua hata kukuangalia siyo chaguo la Mungu kwako.
Na ukilalamika ni kama unamlalamikia Mungu.
Atatokea ambaye Mungu kampanga na atakupa attention.
Hapo na 4 kama umeniacha mkuu. Explain pleaseHapo ulowachamba bila shaka Mimi siko, maana sikogo mzembe kiasi hicho, unless use sio type yangu, zile zinazonitoaga udenda.
1: ukute mwanaume yupo yupo tu, kuvaa hajui
2: sio smart hata kidogo
3: analala kwa shemeji sebleni
4: ana miaka 35 bado anaendesha hits
5: hata kiwanja hana
Hivi kweli Huyu nae anataka achangamkiwe?
Mtuoneage huruma aiseee
Dada angu Khantwe, for sure nahis utakua wew upo overweight.
Nisamee bure, nachukia unene kutokana na kazi yangu, nakutana na wengi wanateseka kutokana na maisha ya kuwa na unene ulio pitiliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Topic ni nini eti maana naona slow, kunenepeana, maharage, mara anataka aangaliwe usoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya sawaSamahani Sana.
Ila zeshchriss wengi wenu humu ninyi KE ni aged,so me huwa nawaheshimu coz naona ni wamama watu wazima.
Sent using Jamii Forums mobile app