Mademu part II

hata sisi vigezo na masharti huzingatiwa!

Mfano tunakuja mimi na Wambuzi, wewe unamind Wambuzi wambuzi amechuna, na mimi ndiyo hutaki hata kuniona lakini ndoo ninayekusomesha hadi unatamani ubadili namba ya simu. Je utaweza kusema hunitaki mimi ila unamtaka Wambuzi? na Wambuzi na wenzio watakuchukuliaje?
 
kukukataa wewe ntaona soo coz ya ungwana uliionifanyia, lakini at the same time natakiwa kusikiliza moyo wangu unamtaka nani??.....swali lingine la kujiuliza je wambuzi naye ananipenda kama mi ninavyompenda??
pia kupenda sio kazi coz unaweza kujifunza kumpenda mtu kazi ni kumpata yule akupendaye........so licha ya kunisomesha kama unanipenda kwa dhati ntabaki na wewe!
 
keleeeeeeeeeeeeeewiiiiiiiii shimboni sha wana
 
Do you.

It's a free country. Hata kama anataka vigezo ambavyo si sawa na vyake (pengine kuleta uwiano mzuri kwenye milinganyo) wewe kinachokuuma nini?
 
ha h ah ah ah ha...................... ndo manake ndugu ukwaju
 

part 3 coming soon
 
Do you.

It's a free country. Hata kama anataka vigezo ambavyo si sawa na vyake (pengine kuleta uwiano mzuri kwenye milinganyo) wewe kinachokuuma nini?
Kiranga we ni mpinzani wangu wa kitambo, ngoja nikuache
 
This is wonderfully, even women they are looking for the status to be belonged by their expected HUSBAND!
!!
 
Kiranga we ni mpinzani wangu wa kitambo, ngoja nikuache

Mimi sipingani na mtu, ila masuala.

Napinga kwamba mimi ni mpinzani wako.

Kwa kweli nilikuwa hata sija note kwamba kuna mtu anaitwa "Wambuzi" mpaka leo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…