Eti mimi nataka Mwanaume awe mtanashati,awe Na Kazi yake ya
Kueleweka, awe na Pesa,awe amesoma soma May Be Chuo hivi hapo Sawa Vingnevyo tupa Kulee, Wewe Mbona umeishia Darasa la saba? hata Chuo Cha Unesi kimekushinda!! unadhani kusoma Kazi rahisi eeh??? Pesa zimekushinda Kutafuta unamuwazia Mwenzako ndo awe Na Pesa ili uje uzitumie Viuzri, Unakaa Kujidai Unachagua Wanaume wakutembea nao wakati we Mwenyewe vigezo huna...Hahaha! Kweli Mnachekasha baadhi Dada zangu. Sasa Wewe Ndo tunatupa Kulee!! Nenda Kasome Kwanza halafu utafute hela ndo useme unataka mwanaume wa hvyo.Nimewaza tu jaman.
Kwa Hisani ya watu wa Uru Kishumundu.
mbona keshawataja!!!!leo hujataja wachaga?????ndio wanaopenda hayo???? maana mada zako usipotaja wachaga haijakamilika
Eti mimi nataka Mwanaume awe mtanashati,awe Na Kazi yake ya
Kueleweka, awe na Pesa,awe amesoma soma May Be Chuo hivi hapo Sawa Vingnevyo tupa Kulee, Wewe Mbona umeishia Darasa la saba? hata Chuo Cha Unesi kimekushinda!! unadhani kusoma Kazi rahisi eeh??? Pesa zimekushinda Kutafuta unamuwazia Mwenzako ndo awe Na Pesa ili uje uzitumie Viuzri, Unakaa Kujidai Unachagua Wanaume wakutembea nao wakati we Mwenyewe vigezo huna...Hahaha! Kweli Mnachekasha baadhi Dada zangu. Sasa Wewe Ndo tunatupa Kulee!! Nenda Kasome Kwanza halafu utafute hela ndo useme unataka mwanaume wa hvyo.Nimewaza tu jaman.
Kwa Hisani ya watu wa Uru Kishumundu.
hata sisi vigezo na masharti huzingatiwa!Hivi anayechagua ni mwanaume au mwanamke? Mimi sielewi elewi vizuri hapa
waambie haisaidii kitu hataNingeongezewa hizo nguvu na muda mnaotumia kuwawaza hawa viumbe ningekuwa mara mia ya nilivyo!
Hahahaha,umegusa kijana,hawa wapo sana mikoa kama,dar,mwanza,arusha,tanga, na miji mikubwa.
Msichana amefeli form 4 ama six,yupo home anagongea poda ya mama yake,lakini ukimsikia vitu anavowaza,utadhani anamtaji mkubwa.
Kwanza hataki mvulana ambaye hana kazi,pili anapenda matanuz, .tatu hapendi kabisa kufanya kaz ye ni kula kulala na kujiremba kisha faceboo na disco haha
Sikuhiz kuolewa uwe mama wa nyumbani inataka moyo,mjitahidi mpate hata pa kushika,jamani hata cherehani .......
Binti yangu akipata zero form four NAMKULA MWENYEWE!!!! NDO ADHABU HIYO MAANA WANAWAKE WAMEZIDI KUWAZA WANAUME
Wangekuwa na upeo wa kufikiri ka wewe wasingeachwaachwa ovyo....Eti mimi nataka Mwanaume awe mtanashati,awe Na Kazi yake ya