Mademu mnakera na hiki kitabia jamani.

Nimeingia club namwona Demu anakunywa ndovu lager namwomba kampani anakubali namwita waitress halafu Demu anaagiza Dompo.Aisee hii atalipa mwenyewe na nishamwambia waitress Mimi nalipia ndovu tu.
Pumbaaafu
Unapima kina cha maji kwa 'kudumbukia' mwili mzima, mengine ni maji marefu sio saizi yako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…