Smart lady
Member
- Dec 7, 2012
- 60
- 28
Daaah.huo ni wivu wa kishamba.Kama vipi mvute na yeye, mgegede then sepa.Kwa nini alikukataa mara ya kwanza halafu anakuja kuona wivu baadae.
Unakuta unatongoza demu then anakukataa. Unaachana naye unamtongoza mwengine ambaye wanafahamiana naye anakukubali. Yule wa kwanza akigundua atamshawishi na yeye akukatae. Sasa sielewi ni wivu au chuki za kipumbavu. Kama mtu humtaki si umuache ajaribu bahati yake kwa wengine. Pumbaff!!!
Kuna mwingine alinikataa wakati nasoma. Majuzi tumekutana mbeya nilienda kikazi niko na gari ya serikali akaniomba lifti kuja dar. Nikamwambia panda bus. Akaniomba nimlipie nauli ya bus nikamwambia peleka makombo hayo yamesha expire.
Unakuta unatongoza demu then anakukataa. Unaachana naye unamtongoza mwengine ambaye wanafahamiana naye anakukubali. Yule wa kwanza akigundua atamshawishi na yeye akukatae. Sasa sielewi ni wivu au chuki za kipumbavu. Kama mtu humtaki si umuache ajaribu bahati yake kwa wengine. Pumbaff!!!
Unakuta unatongoza demu then anakukataa. Unaachana naye unamtongoza mwengine ambaye wanafahamiana naye anakukubali. Yule wa kwanza akigundua atamshawishi na yeye akukatae. Sasa sielewi ni wivu au chuki za kipumbavu. Kama mtu humtaki si umuache ajaribu bahati yake kwa wengine. Pumbaff!!!
Unakuta unatongoza demu then anakukataa. Unaachana naye unamtongoza mwengine ambaye wanafahamiana naye anakukubali. Yule wa kwanza akigundua atamshawishi na yeye akukatae. Sasa sielewi ni wivu au chuki za kipumbavu. Kama mtu humtaki si umuache ajaribu bahati yake kwa wengine. Pumbaff!!!
Hakunaga kujaribu bahati kwenye penzi!Unakuta unatongoza demu then anakukataa. Unaachana naye unamtongoza mwengine ambaye wanafahamiana naye anakukubali. Yule wa kwanza akigundua atamshawishi na yeye akukatae. Sasa sielewi ni wivu au chuki za kipumbavu. Kama mtu humtaki si umuache ajaribu bahati yake kwa wengine. Pumbaff!!!
Sasa kumbe wewe ni dereva