Mademu hawa mbona wanaroho mbaya?

Mademu hawa mbona wanaroho mbaya?

notifeki

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
402
Reaction score
283
Unakuta unatongoza demu then anakukataa. Unaachana naye unamtongoza mwengine ambaye wanafahamiana naye anakukubali. Yule wa kwanza akigundua atamshawishi na yeye akukatae. Sasa sielewi ni wivu au chuki za kipumbavu. Kama mtu humtaki si umuache ajaribu bahati yake kwa wengine. Pumbaff!!!
 
Achana na mademu wenye ufahamu wa kuku
 
Kuna wengine wanakukataa then ukipata dem mkali kuliko yeye, yule aliyekukataa mwanzo
anaanza kujitongozesha kwako.
 
Lo si kama anamshawishi anampatia sifa zako tu kiasi basi na huyo naya anashtuka mapema.
Sasa na wewe kwanini uchukue dame anayefahamiana na aliyekukataa?
 
Sasa na wewe kwanini uchukue dame anayefahamiana na ex wako?

Sijasema ni ex. Haikufika huko.
 
Unakuta unatongoza demu then anakukataa. Unaachana naye unamtongoza mwengine ambaye wanafahamiana naye anakukubali. Yule wa kwanza akigundua atamshawishi na yeye akukatae. Sasa sielewi ni wivu au chuki za kipumbavu. Kama mtu humtaki si umuache ajaribu bahati yake kwa wengine. Pumbaff!!!

siku hizi mademu wanakataa, sijawahi ona kwa sasa! wanaume wenyewe wako wapi, labda kama unawavamia wanafunzi vyuoni maana wanajua kabisa kuwa kuna kudanganyana. Lakini huku mitaani, ni wewe tu.
 
Mkuu naona ulikua unataka umringishie kwamba yeye si lolote but akakuzidi ujanja.
 
siku hizi mademu wanakataa, sijawahi ona kwa sasa! wanaume wenyewe wako wapi, labda kama unawavamia wanafunzi vyuoni maana wanajua kabisa kuwa kuna kudanganyana. Lakini huku mitaani, ni wewe tu.

Daaah hao mademu wanaowakataa mamen wako wapi mbona naona kawaida tu kwanza ukiwa na mafuba ndio balaa tena watajitongozesha wenyewe tuu
 
Lo si kama anamshawishi anampatia sifa zako tu kiasi basi na huyo naya anashtuka mapema.
Sasa na wewe kwanini uchukue dame anayefahamiana na aliyekukataa?

Lakini huyo mwenziye nishamtafuna pamoja na fitna zote.
 
Unakuta unatongoza demu then anakukataa. Unaachana naye unamtongoza mwengine ambaye wanafahamiana naye anakukubali. Yule wa kwanza akigundua atamshawishi na yeye akukatae. Sasa sielewi ni wivu au chuki za kipumbavu. Kama mtu humtaki si umuache ajaribu bahati yake kwa wengine. Pumbaff!!!

Ukiona umefanyiwa hivyo ujue huyo demu amegundua afya yako mgogoro usije ukamuumiza mwanamke mwenzie.
 
Ikiwa alimshawishi akukatae na kisha kweli akakukataa, basi ni kheri sana kwako manake unge-invest resources zako kimeo....!! Ina maana, hata kama asingeshawishiwa na huyo mbaya wako, basi huenda huko mbeleni angekuja kushawishiwa na mwingine na akamsikiliza wakati mzee ndo tayari uli-fall totally!!
 
Unakuta unatongoza demu then anakukataa. Unaachana naye unamtongoza mwengine ambaye wanafahamiana naye anakukubali. Yule wa kwanza akigundua atamshawishi na yeye akukatae. Sasa sielewi ni wivu au chuki za kipumbavu. Kama mtu humtaki si umuache ajaribu bahati yake kwa wengine. Pumbaff!!!

notifeki inabidi ufanye pati demu akikutaa, maana ndio fursa nzuri ya kupima kama ulishusha viwango ama lah,
 
Lakini huyo mwenziye nishamtafuna pamoja na fitna zote.[/QUO

Lkn na bado kakutosa?
Kwani ka kwambia ameshawishiwa na mwenzie kukuacha au hisia zako?
Basi alikuwa si wako huyo songa mbele!
 
Kama kamshawishi huyo akakuwacha tafuta mwengine atakukubali tena mbali sana na huyo mtaa..
 
notifeki inabidi ufanye pati demu akikutaa, maana ndio fursa nzuri ya kupima kama ulishusha viwango ama lah,

Kuna mwingine alinikataa wakati nasoma. Majuzi tumekutana mbeya nilienda kikazi niko na gari ya serikali akaniomba lifti kuja dar. Nikamwambia panda bus. Akaniomba nimlipie nauli ya bus nikamwambia peleka makombo hayo yamesha expire.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom