Mademu bwana!<an oldie>

July Fourth

JF-Expert Member
May 2, 2012
2,240
794
Mvulana: hi! dear waweza kuja home tushinde wote leo..nimekumiss mpenzi.!
Demu: haa,na wewe, mi leo siwezi kuja,shangazi mgonjwa hivyo inabidi nikamwangalie kidogo.. Tufanye wiki ijayo basi..
Mvulana: ok poa, ila nilitaka nikupe zawadi ya Black berry leo.!
Demu: nilikuwa nakutania mpenzi, nakuja sasa hv, ukitaka hata nilale kwako leo, haina tatizo
Mvulana: Na mimi nilikuwa NAKUTANIA 2..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom