Madee na IdrisSultan wachambana.

Watu wanaoshiriki big brother sijui wanakumbwa na laana gani..mwisho siku hizi yupo na zola d

Mchezo wenyewe wa laana lazima ndio maana washindi wenyewe na hela zake za laana tupu.
 
Duuh..Kuishi ukweni napo shida..Acha akomae hapa hapa...BBA ikirudi tutampeleka TID mnyama akajaribu bahati yake..Teh

Mnyama anaweza sema yule watamfukuza kwasababu ya asira zake
 
Huzuni kuona wanaume wanachambana na mleta Uzi unapenda kuchambana ???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…