Made your day

Made your day

Salahan

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
2,961
Reaction score
3,699
33900812_126400634902793_4702968641996455936_n.jpg

32557999_1521889157940628_5620002674326896640_n.jpg

37583668_2109829689337375_7793194935703830528_n.jpg
 
Nauliza!! Wataalamu wa kingereza tofauti ya MAKE na MADE ni nini!?
Make your day!?
Made your day!?
 
Wandugu msaada, Demu wangu anakuja geto kasema anahamu na ugali yeye anakuja na mboga kwahiyo niandae ugali kabisaa, sasa hapa nisha chemsha maji nimekatia kitunguu na tangawizi, nimeweka mafuta na chumvi yeyari na kisha nikaweka unga sasa ndo nimefunikia ndo nasikia vinachemka. Je inatakiwa nipakuwe baada ya muda gani ndo itakuwa ugali ushaiva?
 
Tia pilipili kichaa kama sita hivi,tujivu kidooogo ili kutia radha.Usisahau kunogesha na sumu ya panya japo kijiko kimoja na ukitaka ajilambe tia na nusu lita ya povu la ommo hapo lazima alale hapohapo kwa utamu.Maandalizi mema ya msosi mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom