Made In Tanzania



kwa hiyo mwezetu ulizaliwa na kutembea moja kwa moja
 
​sijaelewa hapa???bongo siku hizi inatengeneza binadamu au???
 
huyu anajiita maria dimpoz kule facebuk
 
Mtoa mada umetuacha njia panda ya uhuru na msimbazi.
 
utakuta kichwani hamna kitu...ndo inakuaga ivo...
 
mbona ni katoto kadogo?
umri wa miaka 10 kweli?
bora kukaweka facebook
 
Watu wengi hawaendelei kiuchumi sababu ya ujinga kama huu hapo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…