Hapo ananasa channel za dstv na baadhi ya zile za hapa local. Hilo tukio alilokuwa analiangalia kwa kweli linasikitisha baada ya jamaa mmoja aliyekuwa amevaa miwani myeusi kujisaidia haja kubwa pembezoni mwa barabara akidhania kuwa ni giza kumbe ni saa 11 jioni. Ogopa miwani kuchomea welding
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.