Madhara ya kitu inategemea na anayeyatafsiri,
Wewe unaweza ukaona Mimba kwako ni athari, lakini mwenzako akaifurahia akaona ni baraka,
Wewe unaweza ukamuona teja anasinzia ukamchukulia amedhurika lakini yeye akajiona ndio anajitibu na kwa upande wake akaona kuacha kutumia madawa ni madhara makubwa sana cuz starehe yake hatoipata tena,...
BACK TO THE TOPIC
Sioni tofauti kati ya Madawa na Mapenzi cuz zote zina addiction, Zote zinaweza sababisha kifo,
kwa upande wangu naona zote sawa tu
Mkuu hivi kweli mapenzi ni yakufananisha na madawa ya kulevya? Una umri gani? Maana mtu anaefanya ngono zembe ana akiri timamu za kutafta pesa ya kuhonga je huyo teja kwanza mchafu pili ubongo wake hauwazi kingine tofauti na kujidunga sindano
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.