Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,527
Tumeshuhudia majipu anayoyatumbua Rais Magufuli ni kweli mengine yanatumbuka ila si la madawa ya kulevya kwa sababu zifuatazo:
1. Ni tatizo la dunia nzima alone alone you can not stop them.
2. Wanaouza wana mtandao ambao ni Hatari inapobidi hata kukuondoa roho yako unajaribu ku themper nao.
3. Matajiri waliyotukuka wana uwezo hata wa kuangusha serikali ama utawala wako.
4.Tunashuhudia mataifa mengi yameshindwa kuwadhibiti hawa jamaa maana wana nguvu. Mfano huyu MMexco huyu aliyekamatwa juzi juzi hata serikali yake inamuogopa na kumkabidhi kwa wamarekani. Nako Marekani ndiyo Wateja wakubwa.
Huo ndiyo ukweli cheza kote huko mheshimiwa Rais na siyo hawa jamaa wa madawa ya kulevya hutawaweza!
Kumbuka hata hawa watumishi wako sijui wa majeshi hawa, wengine ni Wahusika wakubwa tu.