Madawa ya kulevya Arusha: Wamekamatwa na mirungi na bhangi

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
284,235
738,458
Ni jumapili ya valentine kwa wale wanaopenda kujishughulisha na mambo yasiyo na faida
Pia ni mwisho wa wiki iliyokuwa na msisimko wa aina yake wa jambo moja kubwa sana lakini lisilokuwa na maana wala tija yoyote kutokana na kosa dogo sana APROACH! jambo hili kutokana na aproach mbovu limegeuka kama valentine day...!
-usumbufu kwa wengine
-kupotezeana muda na rasilimali
-kuchafuana (hata Leo watu watachafuana sana)
-kuchoshana
Na mwisho wa siku kubaki ulipo bila matokeo yoyote ya maana (aina fulani ya uwendawazimu ama kukosa fikra yakinifu)
Stelingi wa mchezo kaingia mitini haonekani hadharani wala kusikika popote tena! Na ulinzi umeimarishwa (maandalizi ya igizo lingine? )je ataonekana tena kwa tambo na majigambo? Au ndio bye bye kwaheri ya kuonana? Kesho si mbali. tuombeane uzima
Kila jambo huwa na mrejesho, nasubiri mrejesho kwenye hili jambo kubwa sana la vita dhidi ya madawa ya kulevya
IMG-20170212-WA0012.jpg

Mzee wangu mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro kapokea kijiti juzi na jana pekee kadaka watu 40+ wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya wamekamatwa na mirungi na bhangi hakuna cocaine wala morphine nk...tutarajirie moto huu kusambaa kwa kasi sana nchi nzima
Mtoto mdogo anapolizwa na mtu mwingine hukimbilia kwa anayemuamini kutafuta msaada...na huyo anayeaminika atamwambia Mtoto 'tema mate tumchape' kwamba kolabo ya mate na kiganja ndio vitaleta maumivu ama?
Kuna wimbo wa Madee nafikiri una mstari unasena.... Tema mate tuwachape wale wajinga wa Bongolala...!
Episode one imeisha tusitarajie maajabu zaidi.walichokitaka kimekuwa...kilichobaki tu tuimbe tema mate tumchape.....
 
Hivi ungekuwa mwalimu ungependa ufundishe somo gani vile,! kidato cha nne katika hizi shule zetu za dar
 
Kama kuchochea moto ili chakula kiive
Kama kuchochea dawa ili upendwe sana
Kama kuchochea nanihii ili tufanye mob psychology
sote tuna asili ya uchochezi lkn kuna two sides postive & negative,hata kaka mkuu wa dar alichochea ndo maana kimekuwa hit...
ulichokisema kimechochea wale wanaothink kama hivyo lkn mazingira yakiendana na hicho ulichokisema yatakuwa pia yamechochea ulichosema..

"nothing without reason"
kuna viashiria vilivyokufanya wewe kuandika hayo... kama unaweza kutuambia,tuambie..?
 
Tangu lini panya kamfukuza nyau? Hii movie ina wenye nao

watu wengine ndivyo tulivyo lazima majina yetu tena yalivyo mabovu ya kutamkwa lazima yasomwe BBC, CNA chezea weye.
 
sote tuna asili ya uchochezi lkn kuna two sides postive & negative,hata kaka mkuu wa dar alichochea ndo maana kimekuwa hit...
ulichokisema kimechochea wale wanaothink kama hivyo lkn mazingira yakiendana na hicho ulichokisema yatakuwa pia yamechochea ulichosema..

"nothing without reason"
kuna viashiria vilivyokufanya wewe kuandika hayo... kama unaweza kutuambia,tuambie..?
 
Back
Top Bottom