Madawa ya Kulevya: Alivyotoroshwa Nurdin Akasha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madawa ya Kulevya: Alivyotoroshwa Nurdin Akasha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mnyamahodzo, Sep 8, 2011.

1. Mnyamahodzo

Mnyamahodzo JF-Expert Member

#1
Sep 8, 2011
Joined: May 23, 2008
Messages: 1,854
Likes Received: 220
Trophy Points: 160
Salaam wakuu!!

Miaka ya tisini mwanzoni kuna mfanyabiashara mmoja ambaye pia alikuwa akifanya biashara ya dawa za kulevya alikamatwa yeye gari lake. Gari lake hilo (tractor/kichwa) kilikaa muda mrefu sana pale Polisi Kilwa road aka Ufundi. Inasemekana huyu jamaa alitoroshewa Kenya kwa msaada wa wakuu wa Polisi akitokea hospitali.

Tafadhali naomba info zaidi kwa wanaojua.
Ref:

2. Mnyamahodzo

Mnyamahodzo JF-Expert Member

#2
Sep 8, 2011
Joined: May 23, 2008
Messages: 1,854
Likes Received: 220
Trophy Points: 160
Wakuu, je jina hilo ni geni sana? Kama pana sehemu taarifa nilizoandika ziko mguu pande, niko tayari kurekebishwa.

3. mashikolomageni

mashikolomageni JF-Expert Member

#3
Sep 8, 2011
Joined: Jan 5, 2010
Messages: 1,565
Likes Received: 5
Trophy Points: 135
Nurdin Akasha alitoroka akiwa chini ya ulinzi mkali Muhimbili Medical Center (wakati huo) akiwa amejifnya mgonjwa mahututi njama ilikuwa ya viongozi wa ngazi za juu kwani aliwekewa mlinzi wa kike kwa kuwa 'alikuwa mahututi" akiwa chini ya uangalizi wa mamake mchoro ukachezwa akatoroka, hadi leo no trace za Akasha.

4. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#4
Sep 8, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 35,436
Likes Received: 22,349
Trophy Points: 280
CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

5. Arafat

Arafat JF-Expert Member

#5
Sep 8, 2011
Joined: Nov 17, 2009
Messages: 2,582
Likes Received: 41
Trophy Points: 0
Walikuwa wanafuta ushahidi wa wafanyabiasha wa dawa hizo ambao wamo katika siasa hapa home.

6. N

Ndinani JF-Expert Member

#6
Sep 8, 2011
Joined: Aug 29, 2010
Messages: 5,413
Likes Received: 734
Trophy Points: 280
Ilikuwa enzi ya Mwinyi ;na huyo Nurdin Akasha alitorokea Mombasa na hakuna juhudi zozote zilizofanywa kumkamata na mpaka sasa yuko huko akiuza mihadarati kama kawa!!

7. K

Kiti JF-Expert Member

#7
Sep 8, 2011
Joined: Nov 2, 2010
Messages: 228
Likes Received: 5
Trophy Points: 35
Ina maana hata Interpol hawakuombwa kumtafuta?

8. Liganga

Liganga Senior Member

#8
Sep 8, 2011
Joined: Jul 4, 2007
Messages: 165
Likes Received: 4
Trophy Points: 0
The truth is he was first spotted in Mombasa and reported by Majira newspaper, a prominent daily paper in Tanzania. Immediately this was denied by the police force.

Four years later he was gunned down in Amsterdam or Brussels if am correct.

This story was well covered in the media in the respective country as Akasha was a well known drug baron. Surprisingly, this news was either never reported or didnt get sufficient coverage in the local media in Tanzania.

9. MANAMBA

MANAMBA Senior Member

#9
Sep 8, 2011
Joined: Jan 16, 2011
Messages: 169
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Toka lini wenye nazo wakanyea debe?

10. Mnyamahodzo

Mnyamahodzo JF-Expert Member

#10
Sep 9, 2011
Joined: May 23, 2008
Messages: 1,854
Likes Received: 220
Trophy Points: 160

wakati ule, tulivyoambiwa ni kuwa kuna wakubwa wa Polisi walihusika. Kwa jinsi serikali ya Mwinyi ktk muhula wa pili ilivyokuwa corrupt sina hofu kuwa Ikulu au Wizara ya Mambo ya Ndani walihusika. Hassan Diria alikuwa Mambo ya Nje, je alirukwa?

11. Mnyamahodzo

Mnyamahodzo JF-Expert Member

#11
Sep 9, 2011
Joined: May 23, 2008
Messages: 1,854
Likes Received: 220
Trophy Points: 160

Mkuu, huyu jamaa ni raia wa Tanzania au Kenya? Kama si watanzania, aliingiaje hapa Tz na alikuwa akiishi maeneo gani? Je! Unafahamu lolote kuhusu rafiki au wajuani wake wa karibu?

Tuko pamoja.

12. Mnyamahodzo

Mnyamahodzo JF-Expert Member

#12
Sep 9, 2011
Joined: May 23, 2008
Messages: 1,854
Likes Received: 220
Trophy Points: 160

Kama imepita zaidi ya miaka 15 ni wazi kuwa hawakutaka kumkamata na ndiyo sababu hawakuomba msaada kwa Interpol.

13. Kumbakumba

Kumbakumba JF-Expert Member

#13
Sep 9, 2011
Joined: Sep 7, 2011
Messages: 222
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Polisi,mahakama na jela ni sehemu za masikini..Tajiri akienda mahakamani anaenda kudai fidia au kwa kesi yoyote ya madai. NDIO TANZANIA HII

14. Mnyamahodzo

Mnyamahodzo JF-Expert Member

#14
Sep 9, 2011
Joined: May 23, 2008
Messages: 1,854
Likes Received: 220
Trophy Points: 160

Kwa lugha nyingine ni kuwa wapo wanasiasa wanaofanya biashara ya dawa za kulevya. Pia kunaushahidi makini. Sasa alipotoroshwa kinyemela waliweza kufuta ushahidi wote? Kama kuna mabaki ya ushahidi wakina nani walihusishwa na biashara hiyo kwa wakati huo?

15. Mnyamahodzo

Mnyamahodzo JF-Expert Member

#15
Sep 9, 2011
Joined: May 23, 2008
Messages: 1,854
Likes Received: 220
Trophy Points: 160

Thanks mkuu, perhaps through JF we provide another coverage on the story about Akasha. Share with us the simple truth you know or have heard about him. We don't know perhaps behind the screen editors were warned not to publish anything about Akasha; to be bribed can be another truth.

How had he ascaped from Dar, was it by car or plane?

16. Mnyamahodzo

Mnyamahodzo JF-Expert Member

#16
Sep 9, 2011
Joined: May 23, 2008
Messages: 1,854
Likes Received: 220
Trophy Points: 160
Nilhpata sikia kuwa huyo askari wa kike alitiwa kashikashi sana baadaye alijiua. Je! Hilo ni kweli?

17. Eqlypz

Eqlypz JF-Expert Member

#17
Mar 11, 2013
Joined: May 24, 2009
Messages: 4,069
Likes Received: 11
Trophy Points: 0
Aliyekuwa gunned down in Netherlands alikuwa anaitwa Ibrahim Akasha sasa sijui kama ni mtu mmoja alibadilisha jina au ni ndugu.

18. M

MERCYCITY JF-Expert Member

#18
Mar 11, 2013
Joined: Jan 25, 2012
Messages: 348
Likes Received: 198
Trophy Points: 60
Niliyaona yale magari yake pale polisi Kilwa na polisi waliniambia kisa kushikwa ilikuwa ni kumnyima mfanyakazi wake pesa zake za likizo naye akawatonya polisi.

Polisi waliyashika magari yake na ugumu ulikuwa ni kujua madawa yalikuwa yanabebwaje. Yale magari yalikuwa na trailer na number za nchi mbili lakini nimesahau. Trip zilikuwa ni kutoka mombsa mpaka south afrika kupitia Tanzania.

Ajabu zilikuwa zikisafiri bila mzigo wowote. Mbinu waliyokuwa wanafanya ni kuweka matank mengi ya mafuta kumbe yale matank walikuwa wanajaza madawa. Polisi baada ya kutafuta kila mahali ndio wakasahangaa mbona kuna sehemu nying zimechomelewa.

Kumbe wakifika South wanayakata na kurudi Kenya kuchomelea mengine wakati yale yakipakuliwa. Hilo ndilo lilifanya wakapata hayo madawa lakini haikuwa rahisi kwa sababu huyo mfanyakazi hakutoa habari kamilifu kwa polisi.

19. Mauza uza

Mauza uza JF-Expert Member

#19
Mar 11, 2013
Joined: Jul 24, 2008
Messages: 2,068
Likes Received: 786
Trophy Points: 280
Nurdin Akasha na ndugu zake wawili waliuawa kinyama downtown Amsterdam baada ya kuwadhulumu walebanese mzigo wao huko mombasa basi wao wakafikiri yameisha wakaamua kuhamia kimaisha Holland na kununua majumba ya kifahari kumbe walebanese hawajasahau ndipo walipokuja uliwa wote hotelini amsterdam wakiwa wanapata dinner....

Papa Msoffe asifikiri wale wayahudi wamesahau alivyowadhulumu wanamlia timing tuu...ndo wenzetu weupe walivyo hata ipite 15 years kama ulikula chao kuna siku revenge lazima ishuke...

RIP-Akasha..

20. N

Nndu wa Selote JF-Expert Member

#20
Mar 11, 2013
Joined: Jun 21, 2012
Messages: 346
Likes Received: 50
Trophy Points: 45
Da Wakuu mmenikumbusha mbali sana. Hivi vipi kuhusu mwanamama aliyekuwa anaitwa Simbaulanga?

Loading...