Madawa mabaya tokea angani... nani anamwaga na kwa nini?

Natty Bongoman

JF-Expert Member
Oct 10, 2008
403
191
Ukiangalia angani wakati ndege zapitapita, utaona matokeo mawili mkiani mwa ndege:
1. moshi mdogo ambao unapotea haraka sana, hata kabla ndege haijatoweka.
2. moshi mzito ambao hautoweki haraka, na haswa, unaenea angani karibu kwa siku nzima baada ya ndege kutoweka.

moshi mzito unaitwa CHEMTRAILS, na ni madawa yanayoangushwa na hizi ndege. Haya si madawa mazuri, na nimesikia kuna madawa ya kila aina, hata yenye uwezo wa kuwafanya wanaonyeshewa kuwa vichaa.

Ukitaka kuelewa zaidi ... nenda kule youtube, afu taipu CHEMTRAILS ama CHEMICAL TRAILS.
 
Back
Top Bottom