Madanguro yashamiri Dar, sheria iko kimya

Watafutie njia mbadala ya kujikimu uone kama watafanya hiyo biashara-wengi ni ulazima unawafanya wawe hivyo,

Tatizo linalotusibu watanzania ni kua mtu anapata huduma kimya kimya halafu anailaumu serikali kwa kutochukua hatua.
 
Tatizo kila mtu anapenda ngono inakuwa ngumu kujiwekea sheria ni kama kujinyima starehe,wawaache tu sema wafanye utaratibu wa kukusanya kodi kwa wamiliki wa madanguro.
 
Kutungia sheria madanguro ni kuchochea ufuska.Hili suala liachwe kwa mtu binafsi na utashi na maamuzi yake.Sana sana wapewe elimu.
 
Wakikamatwa na kupelekwa post naskia kina aafande wanachkuaga namba za simu kimya kimya af wanaftana kwa huduma..

hahahahaha, af unasema sheria ishike mkondo wake mbele ya "nyapu"
 
Unaharibu sasa bro!!!we elekeza tu,hivi hebu fikiria huku uswahilini taxi,chips kuku,gharama ya chumba,aksante zinafikia karibu LAKI!!!! wakati hapo ni buku 10 tu unasepa na hutafutwi kwa vocha
Wateja utawajua tu kwa majibu yao
 
show me msichana wa umri wa kati ambaye ameshaanza mapenzi asiyejiuza and I will show you someone who is not a Tanzania gal..acheni kufunika kinyesi kwa mchanga..they are all basically doing the same thing..tofauti kidogo ni kuwa baadhi (wachache sana) wanajiuza kwa mtu mmoja tu
 
ama hata tunaweza kutunga sheria kuhalalisha si sheria kuzuia tu tukihalalisha tutapata KODI
 
show me msichana wa umri wa kati ambaye ameshaanza mapenzi asiyejiuza and I will show you someone who is not a Tanzania gal..acheni kufunika kinyesi kwa mchanga..they are all basically doing the same thing..tofauti kidogo ni kuwa baadhi (wachache sana) wanajiuza kwa mtu mmoja tu
Hii comment nimeipenda. Ukweli mtupu. Period.
 
Haiwezekan sehemu kama kona baa na sinza mori pakawa ndo makazi rasmi ya makahaba na tuendelee kufurahia
 
Hapa ni kama wamefanya matangazo ya bure ya biashara. Kuna watu wenye uchu walikuwa hawajui pa kwenda sasa washajua.

UKIMWI unaununua mwenyewe kwa hela yako.
Bila kushinikizwa na mtu.
Mtu anafanya biashara hii naye anategemea kuolewa? Hawazi UKIMWI?
 
Mi nashangaa baadhi ya wanaume wenzangu wanaolalamikia Masada wanaojiuza maeneo ambayo yanajulikana wakati kiukweli hawa madada ambao tunawaona kama wastaarabu wengi wao wanawanaume zaidi ya mmoja.Mimi nilikua mwalimu was bweni sehemu moja hivi,matron alikua ananishirikisha mambo mengi yanayohusu wanafunzi was like,baadhi yao walikua wanalala na wanaume za ya wawili kwenye mageto tpfauti.Mi nina uhakika kuna madada kibao wengine ni waalomu ambao bado hawajaolewa wanaingiza wanaume tofautitofauti kwa siku moja au ndani ya wiki moja na bado tunawaona kama wastaarabu.Kuna hata wakina mama wengine ni wake za watu wanafanywa hovyohovyo kwenye magari yao na madereva wao au watu wengine.Kuna manesi ambao wanafanywa na madaktari au manesi was kiume maofisini wagonjwa wakimalizika kwenye zahanati au hospitality,vilevile kuna hadi baadhi ya mawaziri wanakashfa ya kufanywa hovyohovyo na ndomana hata baadhi ya ndoa zao hazidumu pale wanaume zao wakigundua yanayofanyika kwenye ziara mbalimbali.Tusiwasakame hao machanguduo tujaribu kufikiri nje ya boksi watu kama akina Wema,Wolper,Lulu n.k ukisema uwachunguze kiundani utasema bora hata ya hao wana nafuu.
 
Hata mimi imenistua hiyo picha na habari inayotolewa ni tofauti
 
Madanguro hasa kabila fulani toka sehemu za tetemeko ni jambo la kutia simanzi sana. Viongozi serikali za mitaa wapo wanapokea rushwa na kukaa kimyaa aah. Temeke sokota, buguruni, Ubungo Stendi ya mkoa, Makumbusho Stendi ya daladala n.k
 
Mkuu stendi ya mkoa kwa wapi pale
 
Mi nashangaa baadhi ya wanaume wenzangu wanaolalamikia Masada wanaojiuza maeneo ambayo yanajulikana wakati kiukweli hawa madada ambao tunawaona kama wastaarabu wengi wao wanawanaume zaidi ya mmoja.Mimi nilikua mwalimu was bweni sehemu moja hivi,matron alikua ananishirikisha mambo mengi yanayohusu wanafunzi was like,baadhi yao walikua wanalala na wanaume za ya wawili kwenye mageto tpfauti.Mi nina uhakika kuna madada kibao wengine ni waalomu ambao bado hawajaolewa wanaingiza wanaume tofautitofauti kwa siku moja au ndani ya wiki moja na bado tunawaona kama wastaarabu.Kuna hata wakina mama wengine ni wake za watu wanafanywa hovyohovyo kwenye magari yao na madereva wao au watu wengine.Kuna manesi ambao wanafanywa na madaktari au manesi was kiume maofisini wagonjwa wakimalizika kwenye zahanati au hospitality,vilevile kuna hadi baadhi ya mawaziri wanakashfa ya kufanywa hovyohovyo na ndomana hata baadhi ya ndoa zao hazidumu pale wanaume zao wakigundua yanayofanyika kwenye ziara mbalimbali.Tusiwasakame hao machanguduo tujaribu kufikiri nje ya boksi watu kama akina Wema,Wolper,Lulu n.k ukisema uwachunguze kiundani utasema bora hata ya hao wana nafuu.

Habari ya Dar es Salaam .... Jiji pembeni ya Bahari
 
Attachments

  • IMG-20161206-WA0005.jpg
    IMG-20161206-WA0005.jpg
    78.8 KB · Views: 74
Back
Top Bottom