Madamoto: Uendeshaji wa bandari kitaalam

Allyoki

JF-Expert Member
Mar 23, 2007
251
138
Je wa jua Kuwa wenye The highest Qualification in Port and Shipping ya Yaani CHARTERD SHIPBROKER wapo 4000 na East Africa 180 na Kenya ni 178 na Tanzania 2 tu Leo hapa Channelten kupitia MADA MOTO na Julius Nguhulla mmoja Kati ya Watanzania wawili akielezea nini kifanyike katika kuinua uchumi wa Taifa kupitia Bandari zetu
 
Mada Moto Mdororo wa Mizigo Bandarini 06.09.2016

Mtaalamu Maritime Consultant Julius Nguhulla anatoa somo kwa undani sababu ya meli na mizigo kupungua ktk bandari ya Dar-es-Salaam kutokana na myumbo wa uchumi duniani na Tanzania inaweza vipi kukabiliana na changamoto hiyo ili kuendelea kupata mapato makubwa pamoja na changamoto zilizotajwa hapo chini :
  1. Knowledge ya shipping ndogo sana Tanzania kiasi ya kushindwa kuhudumia meli na mizigo
  2. Kodi, Mwenye Meli kulalamika kukosekana ujuzi wa wafanyakazi bandarini Dsm, Umangi Meza wa TRA
  3. Myumbo / Mdororo wa uchumi duniani
  4. Bandari shindani za Mombasa, Durban South Africa n.k
  5. Meli zaidi ya 700 duniani zime ''paki'' bila mizigo
  6. Meli zingine zimevunjwa vunjwa na kuwa scrapper kutokana na kupungua kwa mizigo
  7. Tanzania tumejitakiwa wenyewe mizigo na meli kupungua
  8. Institute of Chartered Shipbrokers BIMCO Reflections 2014 | Institute of Chartered Shipbrokers
  9. n.k

Source: Channel Ten Tanzania
 
Kama mtaalamu mwenyewe anaongea hivyo, basi kuna kazi ngumu. Sababu anazotoa ni za chini sana hatoi maelezo kwa kina.
 
Tunashukuru mtoa mada kwa taarifa,mengine ni mambo ya kawaida ktk biashara ila naomba ufafanuzi wa No 7
 
Mtoa mada upo humu? Nina maswali yangu nahitaji majibu au presenter wa kipindi utanifikishia?
 
Tufunge bandari tufungue bichi za kufa mtu pale, na yale magodown tufungue clubs basi.
Mtaona jinsi mapato yanavyoongezeka.
 
Ameongea vizur sana. Haya sasa tuendelee kujifariji bila kuajiri wataalam
 
Back
Top Bottom