Ili JF tuendelee kuwa development forum, jadilini mafanikio ya Madame Rita na contructive criticisim. Mwacheni Mzee Mengi kado. Benchmark ni wazo lake Rita na mtaji alipata kwa Mzee.
Ni kweli Benchmark production ni moja ya makampuni bora kabisa za production. Ili sio bora kushinda zote maana hazijashindanishwa. Kuna vikampuni vidogo vidogo vya production vinachapa kazi benchmark cha mtoto. Kipimo rahisi ni kuangqlia video za wasanii wetu ama matangazo ya Tv, benchmark inaachwa mbali.
Binafsi Rita namkubali na mafanikio yake yanakubalika bila kupinga japo aliutumia uzuri wake kunasa buzi la nguvu kwa ajili ya maendeleo. Fundisho kwa dada zetu wachuna mabuzi, tumieni hizo hela kwa mtaji wa biashara. Huu pia ni uthibitisho hata uwe mzuri vipi, mabuzi yanamwisho.
Pamoja na mafanikio yote, Rita ana tatizo moja kubwa. Tatizo lake kubwa ana Deep Rooted Neorosis inayopelekea inferiority complex.
Rita ni mzuri tuu hata akiamka asubuhi kabla hajanawa anavutia, unapomuona Madame Rita anajiover make up na kuvaa mavazi ya visichana vya kileo, hili ni tatizo la chini chini la kutojiamini hivyo anajenga comfidemce on make-up kwa kujiremba kupindukia.
Rita hana haja ya kuover dress na over make-up to justfy her beauty.
Hata maofisini ukimuona mdada amejiremba sana kupita kiasi ama wale wavaa magold mengi matundu kibao masikioni ujue wanamatatizo sambamba na wavaa lundo la shanga.
Tatizo jingine kwenye bongo star search Madame alikuwa kama mjinga fulani. Salama alikuwa kichaa na ni kichaa kweli siyo mpaka aokote makopo ila alikuwa kichwa. Master J na Kitime walikuwa vichwa.- nilitegemea Madame Rita aonyeshe brain power yake lakini comments zake was nothing zaidi ya kuuza sura na urembo hivyo nahisi she is not inteligent.
Beauty alone is nothing, there must be something extra to complement the beuty. Kama mpaka Rita kaachwa?!.