Madame ndani ya project

Madame ndani ya project

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,341
1418148326909.jpg
 
wow....wamependeza......wema kaonekana mrembo haswa......sipati picha akivaa yale matenge ya ki nigeria.....
 
Mhhhh???sipati picha inatokea wanazaa yeye na chibu yani huyo mtoto atakuwa zaidi ya msanii
 
Hongera Wema kwa project yenu hope itakua nzuri sana u look so gorgeous
 
Ngoja tuone labda anaweza kuipeleka bongo movie kimataifa! Kwenye Ku act Wema namuamini kabisa sina doubt kabisa!

Ngoja tuone!
Akanana Mrembo by Nature where are you?

Somo wa Wema nipo nimejaa tele. Mahaba debe kwa madame wangu. Hapa roho kwatuuuuu namuombea na hicho kichupa nitakuwa wa kwanza kukinunua
 
Last edited by a moderator:
Kwanza domo ukimtazama sura ilivyokamaa haendani na umri wake kwa kweli fanya kazi wema mapenzi waachie zari na domo
 
Sipendi Movie za Bongo ila hiyo movie ya Wema ikitoka ni LAZIMA niinunue tu
 
Back
Top Bottom