Madame ndani ya project

Madame ndani ya project

Wema yuko vizuri . Ana uwezo mkubwa sana wa kuigiza. Sema wanaigeria wengi wako kama Davido anatakiwa awe nao makini. All the best madam!
 
Alikua wapi siku zote?au project ya diamond na zari imemfumbua macho?
Anyways sio mbaya bora kajitambua sasa
 
attachment.php

Safi Wema endelea kupiga Project na Van!! Movie itakuwa nzuri maana mna-match kweli.
 
Back
Top Bottom