Madame B nimekukumbuka SANA.....!!!

Khaaaaaaaaaaaa!!!! mimi kwa kweli sijawahi kusikia binadamu akawa chuma chakavu, na hata siku moja ya kale hayanuki, na X huwa hatongozwi tena, kwa hiyo usijidanganye kama Arushaone anaweza kumuacha Madame B, hicho kitu sahau,
Kwa sababu Arushaone alikuwa anaweweseka akilala na kumuota madame B, kwa sababu ya Mapishi yake ya kunako 6 x6, kiasi hata kazini alikuwa anashindwa kufanya kazi, anakaa anamuwaza tu mpenzi wake, halafu leo wewe unasema ni chuma chakavu Loh!!! Chezea Madame B wewe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…