Madame B nimekukumbuka SANA.....!!!

Mkuu Arushaone
Kwanza kabisa unapaswa kuelewa kuwa ukipata chombo kipya cha zamani tupa. Ikiwezekana uza kana chuma chakavu.

Tamaa tamaa zitakuponza. Tulia na kipenzi chako ( kama kweli ndivyo).
ladydoctor ni mwanamke mwenye sifa za uanamke. Anajua nini mwanaume anataka (Usiniulize nimejuaje).
Madame B kwako ni chuma chakavu.
 
Last edited by a moderator:

Khaaa!
Dada yangu gfsonwin, Kaunga, snowhite na Lisa sitapenda wakusikie.
 
Last edited by a moderator:
Nipo mpenzi.
Hata mimi nimekumiss sana tu mpenzi wangu.
Sema naumwa tumbo na kichwa.
Nakumiss sana.
Kumbuka mahawara hawaachani.

Jamani pole sana shem Madame B.. Mwenyezi Mungu atakupa unafuu.. Nimekumis hapa.. Unapewa salam na shoga ako Paloma.. Kazi yake ni kula udongo tu..
 
Last edited by a moderator:
Nipo mpenzi.
Hata mimi nimekumiss sana tu mpenzi wangu.
Sema naumwa tumbo na kichwa.
Nakumiss sana.
Kumbuka mahawara hawaachani.

Kumbe mlikua mahawara? Mkikulana kinyume na kanuni?
Mlikua mwainjoi vipi raha kwa malavu ya kifisadi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…