Madame B is Back...! Niliwamisijeee eee...!?

We nawe mikwara miiiiiingiiiiiii, wakati hata Kibo hufiki.
Watu twajilipua we watoa macho.
Na safari ijayo tutakunywesha kinguvu.
Lile chimbo pana atiiiiiii.
nitafutie mkeka, nataka pale kwenye miwa pawe useful next tym!! haiwezekani miwa iachwe hivyo hivyo wakati walaji wapo!
 
kwi kwi kwi! nilijua atanifia hm ujue?? niliamka usiku kumchungulia kama anapumua, mngeniletea kesi mjue?? kwi kwi kwi, was a nice day indeed! brajec lini?? napapendaje??? ipi ss ya mikocheni au ya savei??

halafu wewe si ndo ulikuwa unatarajia kuwa ye ndo dereva?
 


Heeeeee taratibu mamito......
Sayari ipatikane wapiiii?????
Watu tulibebana bhana,kila mtu na mtueeee.
Nini viepe nilianza na guu la mbuzi mjueeee?????
CDM mbaya sanaaaa,
Mtu alielekea Qibra kabisa ye kajifanya kukisanua,
Ningedhamini lile pambano,chezeiya. Jiwe Linaloishi kataitiwa na Mkewe.
Mke BONGOOOOOOOOOOOOOOOO............!!!!!!!!!!!!!??????????????
Alaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
We nawe mikwara miiiiiingiiiiiii, wakati hata Kibo hufiki.
Watu twajilipua we watoa macho.
Na safari ijayo tutakunywesha kinguvu.
Lile chimbo pana atiiiiiii.

Lazma nijilipue kwa step ili niwa control wadogo zangu.. Ukizimika nani atakubeba?
 
kwani mie na lulu tuna ukoo??? tafa kaka nicas, tafaaaaaaaa!! Madame B unamuona nicas??? asinitoneshe majeraha!! ebo, chezeiya aliyeku.b.i.k.i.r.i. weye?? nna huzuni paseeeeee, mpaka kesho ebo!

hahahahaha. lulu amekurithi.ye Snowwhite alijitoa mapemaaaa. Ila bdo naye ana huzuni.
 
Last edited by a moderator:
halafu wewe si ndo ulikuwa unatarajia kuwa ye ndo dereva?
nilidrive mpaka hossy, then nikadrive mpaka hm! chezeiya stamina weye??? nilikuwa najimudu my dear!! maana nilishazisoma alama za nyakati tokea mwanzo!
 

hahahahahahaha.majungu hayo.
 
Last edited by a moderator:
nilidrive mpaka hossy, then nikadrive mpaka hm! chezeiya stamina weye??? nilikuwa najimudu my dear!! maana nilishazisoma alama za nyakati tokea mwanzo!

Hahahahaha. Na ungemgpa usukani angeenda kupaki chn ya semitrela pale ubungo mataa.
 
hahahahaha. lulu amekurithi.ye Snowwhite alijitoa mapemaaaa. Ila bdo naye ana huzuni.
najua ana huzuni, maana alikuwa bonge la shemeji aseee kwake na mashosti wengine!! mwaya alikuwa na msiba mwingine ukweni kwake, ndio hivyo akawa bussy!
 
Hahahahaha. Na ungemgpa usukani angeenda kupaki chn ya semitrela pale ubungo mataa.
uneliaje sasa! na kwenye kilaji we ndio ulikuwa neighbour kwa upande wa kushoto kwangu!! tulifika salama salimini MUNGU WETU BADO ANATUPENDA!
 
kwani mie na lulu tuna ukoo??? tafa kaka nicas, tafaaaaaaaa!! Madame B unamuona nicas??? asinitoneshe majeraha!! ebo, chezeiya aliyeku.b.i.k.i.r.i. weye?? nna huzuni paseeeeee, mpaka kesho ebo!

Namdeku tu hapa...
Asijishaue hapa.
Siku ile katiwa kidole machoni kashtuka,
nilimuona bonge la mkaka wa town,alivyokuja Fake kanywea,
Chezea Madhiwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
najua ana huzuni, maana alikuwa bonge la shemeji aseee kwake na mashosti wengine!! mwaya alikuwa na msiba mwingine ukweni kwake, ndio hivyo akawa bussy!

Hahahaha. Hata kule ukweni hakupawahi. Full kuhuzunika yani.
 
mpe dada mmoja wa kidigo, tuone huo u-tight wa mkewe!! Chezeiya niniliu weye?? Haina mwenyewe ile!! Ebo!
 
uneliaje sasa! na kwenye kilaji we ndio ulikuwa neighbour kwa upande wa kushoto kwangu!! tulifika salama salimini MUNGU WETU BADO ANATUPENDA!

hahahaha. Ingekuwa huzuni sana.tumshukuru Mungu kwa kila jambo.
 
Namdeku tu hapa...
Asijishaue hapa.
Siku ile katiwa kidole machoni kashtuka,
nilimuona bonge la mkaka wa town,alivyokuja Fake kanywea,
Chezea Madhiwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

kwendraaaaa. Lazma kucheza kwa step kila mahali. Sio kukurupuka hovyohovyo.
 
mpe dada mmoja wa kidigo, tuone huo u-tight wa mkewe!! Chezeiya niniliu weye?? Haina mwenyewe ile!! Ebo!


Babu weeee tumepewa bureeeeeeeee.
Eti mke wangu analea............Analea dondaaaaa....???????????
Watu tunafyatua saa 2, saa 3 tuko juu ya vifua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…