Madame B is Back...! Niliwamisijeee eee...!?

Haaaaa madameb tulikumisije allooo!!!! Twashukuru kwa kutuletea zawadi ya mapeasi, mi nipe mawili tu ya kumumunya aisee.
 
Last edited by a moderator:
mwanamke nyonga full kuipeperusha, hivi hujanionea mtu anayeitwa sweetylady?
 
Yaani umeeudi umwcharuka than bwfore uwiiii. Saaa kama ndo ulikabishiwa familia si watakoma wenyewe?
 
Shhh, akisoma hii post nikaachwa wallah utanioa mke wa pili. Wewe umemuacha wapi sweetlady saa hizi inafanya utalii wa ndani?
King'asti sasa hivi unafanya nini? au utakuwa umempa mgongo shemeji amalize peke yake halafu wewe ndani ya jf
 
Last edited by a moderator:
karibu sana....mimi na vidole vinavyotype kwa ushirikiano wa viganja vinavyobeba vidole, kwa msaada mkubwa wa macho na kichwa .....tulikumiss sana...
 
wooh mamie nafurahi kukuona tena ukiwa na lile tabasamu lako kama la siku ile ulipotwaa taji. . . .
mashindano wa miss cc yalifana bt twatakiwa kufanya party ya kumkabidhi Ciello crown rasmi couz hujakuwepo so nilimkabidhi kama miss na. 2 kwa niaba yako!
WELCOME AGAIN. . . MISS U SO APRIL!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Welcome back my wife to b madame B,naandaa safari ili twende zetu botswana tukapumzike wakati suala la vikao vya harusi likiendelea.
 
Welcome back my wife to b madame B,naandaa safari ili twende zetu botswana tukapumzike wakati suala la vikao vya harusi likiendelea.

Mungu wangu!! Umemuitaje?? Unapenda kesi zisizo na dhamana wewe! Anakuja Ruttashobolwa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…