kwa mujibu wa katiba ya jf, naomba kufuta kauli!mamito mbona unaniharîbia mwenzio, sema taratibu basi mwishowe nitanyimwa ruksa. futa kauli yako kabla jua halijazama!
unaogopa maji! wakati supu ya pweza ndio tiba yako!! unalooooooo!
yan acha,ana makusudi kweli huyu!
ngja nikupunguzie dose, naona tiba inakwenda sawia!Taratibu jamani
endelea kuwatusi, dawa yako inachemka!Kwani hao ni vijana?
kwa mujibu wa katiba ya jf, naomba kufuta kauli!
Brother Nicas Mtei wikend hii naenda kwa wakwe huko alikoolewa bibi cacico (ukiolewa na babu na wewe si unakua bibi!??).
Hivyo naomba hiyo tarehe ya mkutano tuisogeze mbele.
NB: Samahani kwa kuwa kimya sio kupenda kwangu. Nilimuaga bosi wangu sitokuwepo tangu Alhamisi yeye kaamua kuifanyia kigezo cha kunipa kazi ambazo hata hazinihusu. Kisingizio "Alhamisi hutakuwepo kwa hiyo ...."
Ananiboa lakini mukubwa ni mumoja... Madame B nipo ndugu yangu! husika na maelezo hapo juu. Ila mpo moyoni mwangu.
Kaka Mtambuzi, nextym utafute DOMPO yenye alc. % ndogo na mimi nijumuike kidogo!!!:glasses-nerdy: