madame b.........i told you!

Unapigia jibu mstari mpenzi!!
Alafu ntaingia bungeni soon,kwani wewe hupendi kutembelea bungeni alafu mh spika akalitaja jina lako kwamba mgeni/mke wa mh CHAI asimame??

...............
Niache nipumue na Mh: Ben Saanane wangu.
Ubunge huooooooooooooo.........!!!!!!!!!
Utasubiri sana Meli Airport.
 
Last edited by a moderator:
Halafu wewe mbona unataka kuniharibia kwa stevoh?!Wewe hujui kupenda bana..sikuwezi

uuh afadhali nipumue maana wambea wengiii mpaka kero na mibabu mingine sijui inatokea wapi kuja kung'ang'ania vya watu.
 
Last edited by a moderator:
Mapene mkuu.
Yani uchumi ulisheki kidogo,si unajua demu mwenyewe pesa mbele sound nyuma?ila nsharekebisha tayari,maana ata gari nshabadilisha,sasa hivi na drive RANGE ROVER EVOQUE!
Alafu kama tutaludiana nae basi ataendesha freelander2 soon!
CHAI CHUNGU sifa kuu ya mwanaume ni kuhonga,gangamara mwanawane....wewe ndo kigoma mwisho wa reli Madame B atazunguka weeeeeee mwisho ataishia kwa CHAI CHUNGU.........kopi! gfsonwin, Mwali na Mamndenyi.....mwambieni shostinyo atlizane kwa CHAI CHUNGU kafika.
 
Last edited by a moderator:
Ukitaka nirudiane na wewe fanya yafuatayo:
1. Nifungulie Unisex Saloon na Duka la Jumla.
2. Kaniletee mbwa wa kijerumani.
3. Leta ATM kadi yako iwe inakaa kwenye pochi langu la kazini.

Hapoi ndio kidogo nitakufikiria.
aione kiplagati26 na Ben Saanane
 
Last edited by a moderator:
Nimempata............ na muda huu nafanya utaratibu wa kwenda Oysterbay Police,.........leo lazima akawe chakula cha Mbu.



Sio Umbea, ananipa taarifa,
Wewe ndio mbaya.
Na mwaka huu ukiisha hatujakusuta............. katambike kwenu Bukoba.
Madame B ngoja nikupe song:
mapenzi ni kikohozi,
hayawezi kufichika,
hata ukiwa kitandani,
utasikia ko ko ko.....
sos: nyimbo za vidudu in the 60's
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…