Madalali wa Korosho zetu, Indo Power waanza kusaka soko kupitia Alibaba!

Kuwa positive ni kukubali utumbo unafanywa na wajinga au kuwa positive nikufanyaje??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe endelea kusearch tu huko sisi tunachotaka wanunue kwa bei ya juu siyo nyinyi mliokuwa mnataka kuwapiga wananchi wakulima. Mmeula wa chuya!! Kangomba kwishney!
 
Suala hapa ni kama kampuni imeshanunua hiyo korosho toka kwa Wakulima? Kama imenunua kwani ikikosa soko itaturudishia? Kama hairudishi, ni hasara yao, sasa hizi hasira za nini ?? Hasara wapate wakenya sisi tulalamike? Mbona wenyewe akina Ruto na wakenya wenyewe hawalalamiki?

Chamsingi sisi tumeuza kwa bei nzuri, mengine hayatuhusu, ni mambo ya biashara!!!
 
Kwenye sakata la Richmond system ilikaa pembeni? Ukipindisha Mambo system ndo lazima ikatae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani shida ni nini? C wametulipa money yetu?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kama wamenunua na pesa wanalipa, nyie mlitaka kununua muikalishe majumbani mwenu au?

Hayo yao yanawahusu nini? Mlitaka wanunue wakale wao na ndugu zao au?

Kuna mengine ya kulalama kama mngeandika hawalipi ni matapeli.. nchi imepigwa pesa hatujapata.

Ila mie sioni la ajabu hata kama wangeamua wenda kuuzia juu ya mawingu.

Muhimu pesa imenunuliwa.kwa bei aliyotaka Rais wetu na hongera kwake.. kwa wale wenye korosho za kiwango cha chini wajiongeze kwenye ukulima ili wapate pesa zaidi.

Korosho inatokea Mtwara port.. na wameshinda hao.

Watanzania mjiongeze kuliko kulalamika.. ikija kesho tena mtakuwa bado mnalalamika kwa kushindwa na wengine.

Kama mlitaka serikali iuze mtandaoni na watendaji hawajui hayo si mungewashauri..

Serikali itoe cha mtandaoni kivyovyote watu tuwashauri kukiwa na hili au lile.. kuna kujifunza hakuna ajuaye yote

Muhimu wakulima wanapata pesa zao.. na hao hawakununua ili wasipate faida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…