yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,227
- 4,894
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"0"Kama wameingia mkataba wakanunua kwetu huku sisi kinatuhusu nini wapi wao wanaenda kuuza? Isipokuwa kama wamenunua kwa kutukopa wakiahidi kutulipa "wakishauza"; hapo kutakuwa na tatizo. Lakini wakilipa kwetu na wakabeba sheneza zao hilo lwao wapo wataenda kuuza au kula..
Kuwa positive ni kukubali utumbo unafanywa na wajinga au kuwa positive nikufanyaje??Inaelekea watu wameamua kuji-intoxicate bila sababu. Hivi hapa kuna tatizo gani korosho ya Mtwara, Tanzania ikiuzwa na kusambazwa duniani kote kupitia soko kubwa la kimtandao la Alibaba? Sasa mswahili kujua kuwa korosho kutoka nchini kwetu inauzwa na kusambazwa kupitia biashara mtandano ya Alibaba inakuwaje story au laana kwa seikali au kushindwa kwa utawala? Inaelekea kuna watu wameamua kujiweka vibaya na watasaga meno sana maana hakutakuwa na unafuu kwao hadi wabadilike kuwa positive.
Wewe endelea kusearch tu huko sisi tunachotaka wanunue kwa bei ya juu siyo nyinyi mliokuwa mnataka kuwapiga wananchi wakulima. Mmeula wa chuya!! Kangomba kwishney!Pengine tutaonekana tuna wivu, lakini penye ukweli na usemwe: Serikali ya Magufuli hapa imeingia mkenge na imeingia kichwa kichwa.
Unaweza kuona wanavyotangaza hapa: Source raw cashew nuts Outturn 49 -52 on m.alibaba.com au Raw Cashew Nuts Outturn 49 -52 - Buy Outturn 49-52 Organic Dry Product on Alibaba.com na profile yao ipo hapa Company Overview - Indo power solutions
Angalia details hizi kwa mujibu wa Alibaba:
View attachment 1019349
Uwezo wa Kampuni - Research & Development team LESS THAN 5 people:
View attachment 1019353
Lakini, angalia production capacity yao ni ipi na SOMA wao wanasemaje kuhusu 'Cooperation Factory' yao:
View attachment 1019356
Madalali hawa, wanamtumia kijana “Nash Ngare” ambaye profile yake LinkedIn inaonekana kama hivi https://www.linkedin.com/in/nash-ngare-81870369/
Angalia kwenye details za profile yake amejiunga na kampuni lini:
View attachment 1019338
View attachment 1019337
Again, huyu naye ni kundi moja na kina Brian Mutembei; ni kijana wa Ruto
View attachment 1019369
Wewe ndiyo unafeli korosho zimeshauzwa sasa kama wanatafuta soko kwenye mtandao wa alibaba sisi inatuhusu nini? Hivi vichwa nyenu vina ubongo au??Huyu mtu aendelee tu kufeli na kuumbuka.
Masikini!!!!!Wewe ndiyo unafeli korosho zimeshauzwa sasa kama wanatafuta soko kwenye mtandao wa alibaba sisi inatuhusu nini? Hivi vichwa nyenu vina ubongo au??
Kwenye sakata la Richmond system ilikaa pembeni? Ukipindisha Mambo system ndo lazima ikataeThe problem with you guys you think so low that you always regret. Government is a system, doesn't work like your dukawala reasoning. Smart as they are, Kenyans have seen business opportunity with marketing cashewnut through the booming Alibaba online commodity distribution chain. They are in and making money, perhaps unlike Indians cartels of regular raw cashewnuts buyers. Cynical, as always spinners are in JF sneaking!
Mbele wapiNdugu Zangu Ninyi Mniite Majina Yote Lakini Tanzania Iende Mbele Siyo Kurudi Nyuma
Kwani shida ni nini? C wametulipa money yetu?!Pengine tutaonekana tuna wivu, lakini penye ukweli na usemwe: Serikali ya Magufuli hapa imeingia mkenge na imeingia kichwa kichwa.
Unaweza kuona wanavyotangaza hapa: Source raw cashew nuts Outturn 49 -52 on m.alibaba.com au Raw Cashew Nuts Outturn 49 -52 - Buy Outturn 49-52 Organic Dry Product on Alibaba.com na profile yao ipo hapa Company Overview - Indo power solutions
Angalia details hizi kwa mujibu wa Alibaba:
View attachment 1019349
Uwezo wa Kampuni - Research & Development team LESS THAN 5 people:
View attachment 1019353
Lakini, angalia production capacity yao ni ipi na SOMA wao wanasemaje kuhusu 'Cooperation Factory' yao:
View attachment 1019356
Madalali hawa, wanamtumia kijana “Nash Ngare” ambaye profile yake LinkedIn inaonekana kama hivi https://www.linkedin.com/in/nash-ngare-81870369/
Angalia kwenye details za profile yake amejiunga na kampuni lini:
View attachment 1019338
View attachment 1019337
Again, huyu naye ni kundi moja na kina Brian Mutembei; ni kijana wa Ruto
View attachment 1019369
We jamaa mbeaNimefurahi kuona uzi huu umemfanya hadi Maxence Melo kulike.
Duh!Na hii pia haina tofauti na mtu kusema we we lukoma uliwai kusema unashiriki mapenzi ya jinsia moja je, tuamini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Mwenyekiti wako anavyosikiliza simu za watu na anavyofuatilia mijadala yetu JF.