Madalali wa Dodoma: Natafuta Fremu ya biashara ya duka la bia (pub ndogo)

Sep 30, 2019
48
78
Kipaumbele fremu iwe around maeneo ya wajenzi, mipango Au mitaa ya kisasa.

ikiwa na Eneo la wazi kwa mbele itakua added advantage. Hii ni kwa ajili ya kuweka chips na kitimoto ikibidi.

0714846721 nitafute tufanye biashara leo Leo hela ipo mfuko WA shati
 
Back
Top Bottom