Madalali na wapiga debe wapigwe marufuku nchi Tanzania

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,932
Reaction score
11,849
Hao watu wamekuwa wasumbufu sana, wezi na wapigaji sana, wamekuwa wakiongeze bei ya vitu hali inayosababisha ugumu wa maisha.

Mfano mpiga debe analipwa kila kichwa anachopeleka kwenye gari hizi pesa zinakuwa za huyo msafiri mfano nauli ingeweza kuwa 10000 inapanda mpaka 12000 ili mpiga debe apate posho yake.

Hivi mtu ambae anasafiri anashindwa kujua kuwa anasafiri kwenda wapi na gari gani mpaka awepo mpiga debe, wengi wa Hawa wapiga ni wezi maana ukikaa vibaya wanakuibia hasa wanapokuwa wanakuzonga zonga pale stendi.

Kundi lingine ni madalali, hawa nao wamesababisha bei ya vitu kupanda sana kwa sababu ya kutaka cha juu kikubwa, mwenye uwanja au gari anaweza kuwa anauza 5M ila dalali akaanzia akataka 9M na akakomaa kweli.

Serikali iwapige marufuku hawa watu maana wanaendekeza uzembe na ni wapigaji.
 
Hao watu wamekuwa wasumbufu sana, wezi na wapigaji sana, wamekuwa wakiongeze bei ya vitu hali inayosababisha ugumu wa maisha.
Mfano mpiga debe analipwa kila kichwa anachopeleka kwenye gari hizi pesa zinakuwa za huyo msafiri mfano nauli ingeweza kuwa 10000 inapanda mpaka 12000 ili mpiga debe apate posho yake.
Hivi mtu ambae anasafiri anashindwa kujua kuwa anasafiri kwenda wapi na gari gani mpaka awepo mpiga debe, wengi wa Hawa wapiga ni wezi maana ukikaa vibaya wanakuibia hasa wanapokuwa wanakuzonga zonga pale stendi.

Kundi lingine ni madalali, hawa nao wamesababisha bei ya vitu kupanda sana kwa sababu ya kutaka cha juu kikubwa, mwenye uwanja au gari anaweza kuwa anauza 5M ila dalali akaanzia akataka 9M na akakomaa kweli.
Serikali iwapige maarufuku hawa watu maana wanaendekeza uzembe na ni wapigaji.
Wakale wapi?
 
Acha uongo, kama wewe huwataki hawawezi kukufuata
 
Unachoongea ni kweli kabisa, mpiga debe au mtu yeyote anayempeleka mteja kwenye booking office huwa anapokea asilimia fulani kutoka kwenye fedha husika ya anayesafiri. Kwa mfano nauli ikiwa ni shilingi 27,000/= mpiga debe yake ni shilingi 2,000/= na office inabaki n shilingi 25.000/=.
 
Wazee wa kucheza na fursa vizuri
...
Madalali/wapiga debe kiukweli wana faida wanasaidia kupata huduma/unachohitaji haraka mf. Kiwanja,chumba,gari,seat ya bus
...
Lakini wanaongeza changamoto mf. Kupanda bei,kuongeza uwepo wa wizi na utapeli
...
Ukipima positive na negative naunga mkono na mguu hoja waondolewe, kuna fursa za kazi kwingineko wajiajiri huko
 
Hao watu wamekuwa wasumbufu sana, wezi na wapigaji sana, wamekuwa wakiongeze bei ya vitu hali inayosababisha ugumu wa maisha.
Mfano mpiga debe analipwa kila kichwa anachopeleka kwenye gari hizi pesa zinakuwa za huyo msafiri mfano nauli ingeweza kuwa 10000 inapanda mpaka 12000 ili mpiga debe apate posho yake.
Hivi mtu ambae anasafiri anashindwa kujua kuwa anasafiri kwenda wapi na gari gani mpaka awepo mpiga debe, wengi wa Hawa wapiga ni wezi maana ukikaa vibaya wanakuibia hasa wanapokuwa wanakuzonga zonga pale stendi.

Kundi lingine ni madalali, hawa nao wamesababisha bei ya vitu kupanda sana kwa sababu ya kutaka cha juu kikubwa, mwenye uwanja au gari anaweza kuwa anauza 5M ila dalali akaanzia akataka 9M na akakomaa kweli.
Serikali iwapige maarufuku hawa watu maana wanaendekeza uzembe na ni wapigaji.
Hii naunga mkono hoja.
 
Wazee wa kucheza na fursa vizuri
...
Madalali/wapiga debe kiukweli wana faida wanasaidia kupata huduma/unachohitaji haraka mf. Kiwanja,chumba,gari,seat ya bus
...
Lakini wanaongeza changamoto mf. Kupanda bei,kuongeza uwepo wa wizi na utapeli
...
Ukipima positive na negative naunga mkono na mguu hoja waondolewe, kuna fursa za kazi kwingineko wajiajiri huko
Madalali wengi ndio wamesababisha ata bei za viwanja na nyumba zipo juu sana nchi hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom