Unafikiri alietapeliwa alikusudia hela yake iende kihasarahasara?Mna hela za kuchezea aiseee, siwezi kutoa hela niliyoitafuta kwa jasho langu kihasarahasara kihivo
time will tell
Wakati mwingine kuwa makini.Unafikiri alietapeliwa alikusudia hela yake iende kihasarahasara?