Madaktari wetu someni Alama za NYAKATI

Ndumbayeye,

Bora uwaambie hawa madaktari wachumia tumbo. Hamna aliyewakataza na wao kwenda kugombania ubunge mmbona Kangwalangwala yupo kule na ni daktari mwenzao? Wajipange upya madai yao ni rubbish tupu!

mawazo hafifu kama haya yanasababisha nchi hizo za africa zishindwe kuendelea, tafuteni hoja za kujenga na sio kubomoa... Nadhani kwakweli dunia inahitaji vitakuu ya dunia ya 3 ilikupata NWO ambayo inaweza tia tija mpaka nchi zetu pia.
 
Kama ningekuwa na uwezo madaktari wote walio goma wangeenda jela kwa ujinga wanaoufanya vipi umwache mgonjwa kitandani afe kisa maslahi na kuboreshewa mazingira ya kufanya kazi je unajuwa thamani ya uhai wa mtu tuache ushabiki wasiasa za kijinga hata kama ufisadi upo lakini bado haijawa kigezo bora hata na yeye alivyopata maumivu ya kuumwa ingawa sio jambo zuri alilofanyiwa. "HIVI NANI KALAZIMISHWA KUFANYA KAZI YA UDAKTARI"

Siku nikiwa Mao Tse Tung wa China hawa ma "Dr Mengele" itakuwa shaba tu.
 
hili suala la Mgomo wa Madaktari baadhi ya Watanzania wanalitumia kujipatia umaarufu usio na mpango. Hivi madokta wasingesimama na kusema maospitalini hakuna vifaa tiba nani angewasemea? wasingesema mshahara hautoshi nani angewasemea? Nashangazwa sana na hoja za Watanzania wengine kushabikia ati madokta kamavipi waache kazi, halafu iweje sasa wakishaacha kazi? Yaani bado kuna Watanzania mbumbumbu wanaoamini kuwawao binafsi hawawezi kuwa wagonjwa sio? wakisikia mgonjwa wanajua ni flani pekee sio? Lini watanzania wataelewa kuwa haki hudaiwa maana sio ombi ili wajue kuwa process ya kudai chako ina gharama zake? ama ushabibiki uso tija ndio utamaduni wa kitanzania?
 
Jamii forums siku hizi imeingiliwa na vijana ambao hawafikrii kabla ya kutoa neno kinywani. mwenzio katoa maoni wewe unamjibu
Nakosa neno la kukurudishia ila... nimekudharau
halafu na ww unajiita "great thinker" tusiangalie upande mmoja tu wa sarafu tuangalie na upande mwingine wa sarafu pia ndugu, jamaa zetu wanakufa kwa kukosa huduma pale hosp kwa ajili ya maslahi binafsi ambayo yanashinikizwa kwa nguvu fulani ya watu ambao hata roho ya huruma hawana.sisi binadamu tuna roho mbaya sana nd' maana tukifa tunatoa harufu kali sana.
mawazo hafifu kama haya yanasababisha nchi hizo za africa zishindwe kuendelea, tafuteni hoja za kujenga na sio kubomoa... Nadhani kwakweli dunia inahitaji vitakuu ya dunia ya 3 ilikupata NWO ambayo inaweza tia tija mpaka nchi zetu pia.
ndio maana huna uwezo huo nyangau weeee! na kama hutaki kuwalazimisha si wachunie tu, mbona unamind wakigoma? si huwalazimishi kufanya kazi ya udaktari bwana?
 
Hawa madaktari wanatapa tapa mara maandamano ya amani mara kuomba msamaha.

Mimi nilidhani demand yao ipo kubwa kule Trinidad and Tobago wakimbilie huko sasa wanaanza kunitia mashaka!!
 
Hawa madaktari wanatapa tapa mara maandamano ya amani mara kuomba msamaha.

Mimi nilidhani demand yao ipo kubwa kule Trinidad and Tobago wakimbilie huko sasa wanaanza kunitia mashaka!
kwenye msafara wa mamba hata kenge, mijusi wamo. kuna madaktari wengine hawajui na wala hawaitaji huo mgomo bt kuna vijana ambao wanapata nguvu kutoka huko wanako kujua wenyewe nd' wana walaghai wenzao!
 
Kuna mpango mkubwa wa kujenga chuo kikuu cha Muhimbili MUHAS kama chuo cha kujitegemea. Kikiisha tutakuwa tunamwaga tu madaktari wengine watazunguka soli zinaisha.

kauli hiyo inanikera hapo kwenye rangi,na nyingizne hizi,tuna mkakati,upembuzi unaendelea,mchakato umeanza,,,,n.k
lakini pia hata kama mtamwaga madaktar kiasi gani,je mdau kuna vifaaaaaaaaaaaa
 
swala sio kugoma, jambo muhimu ni wanagomea nini?
1. huduma bora za afya: kuwa na vitendea kazi vya kutosha. Kwa mfumo wa nchi yetu, public-private partnership upande wa afya unamilikiwa kwa takribani 70%:30%. Hivyo mtoa huduma mkuu ni serikali. Na hii inatokana na mfumo wa siasa ya ujamaa na kujitegemea ambao nchi yetu iliamua kuufuata toka mwanzo. Sasa haiingii akilini kuwa nchi ina MRI moja katika hospitali moja ya rufaa kati ya sita zilizopo. na kifaa hicho kimearibika kwa miezi sasa. Pia nchi haina CT scan inayofanya kazi katika public hospital. this is shame! Bei ya CT scan moja ni sawa na dola takribani 200,000. inaweza kuwa sawa na thamani ya gari moja wanalotembelea mawaziri, manaibu waziri, wakurugenzi mbali mbali serikalini. Nenda wodi za wazazi katika hospitali za serikali, utafikiri upo chumba cha wafungwa wa hiari. Kitanda kimoja wakati mwingine wanalala akina mama wawili mpaka wanne. Hakuna madawa muhimu kama ya theater n.k. Frankly speaking, its the government that has to provide, because its the same government that created that system.
2. maslahi, bima ya afya, nyumba, usafiri, chanjo n.k. ni mambo ambayo ni ya msingi na ni haki ya kikatiba.
SASA DAKTARI ASIPO JITETEA MWENYEWE NANI ATAMTETEA? WIZARA YA AFYA? VYAMA VYA WAFANYAKAZI? NGO?
 
Back
Top Bottom