Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 11,634
- 26,399
- Thread starter
- #201
Naona unarudia kitu kile kile,mgonjwa alitaka ajue anasaidiwa vipi baada ya kulala na mtu na kinga ikapasuka na baada ya hapo akahisi mtu huyo ni mgonjwa kutokana na dawa alizoziona mle ndani palipokucha,ndio akataka ajue ni dawa za nini na yeye anasaidiwa vipi?Kwa hiyo story maana yake dada alitaka jujua dawa anazotumia mtu mwingine ni za nini. Hapo ni ku disclose taarifa ya mgonjwa